December 18: Diamond kwa Zari, Wema kwa Chameleon

December 18: Diamond kwa Zari, Wema kwa Chameleon

Namuonea huruma wema kwasbb dai ni mwanaume na kiumri bado sn kutulia...ss yy mwanamke anataka kushindana na mwanaume anashangaa muda haurudi nyuma...dai ana uwezo wa kuoa ht miaka 10 ijayo yy ajiulize atakuwa wapi huo muda?

Nilisha Sema sana kuwa wema ni mgonjwa wa akili!
 
Daimond juu jamaniiii wema anatapatapa heheeee nawaombea zari na dai mfanikishe project na party yenu ifunikeeeeeeeeeee
Dai sukari kweliii wema rudi tu kwa Dai unaona zari anafaidi kirungu

Ht asirudi..mwache aendelee kutafunwa na mkongo...km kweli anampenda dai asingekubali kuhongwa bmw...tena aliifurahia kuliko murrano....ss huko uganda c anaenda kujipa strss tu...
 
Ht asirudi..mwache aendelee kutafunwa na mkongo...km kweli anampenda dai asingekubali kuhongwa bmw...tena aliifurahia kuliko murrano....ss huko uganda c anaenda kujipa strss tu...

Anataka aonje ya chamilion hhhhhhaaa
 
Anataka aonje ya chamilion hhhhhhaaa

Aipate wapiiii....mtu ana mke wake na anajiheshimu...chamilion alivyokuja dar mbona hakwenda....ndo aende uganda...hahaha zari kiboko yake waalahii...maskin bint wa watuu....ht hajielewi anataka nini.
 
Kila day nawambia hapa ,, hivi..
''DIAMOND IS THE GAME''

SIJUI MTAAMINI LINI??

AU MPAKA TUIPIGE KI 'ESCROX'
 
Ss tokeo lake kaenda kuopoa bonge la deeemuuu...alijua labda ataishia kwa cheap ladyz wa dar km kawa....kumbeeeeee ht hatukutegemea

Heheeee hajui Dai wanamshobokeaaa zari akijishaua kinakuja kitu kipya kikaliiiiii zaidi ya zarii hhhhheee wema mwisho Dar
 
Wema anaenda kwa party...kwanza chameleone na Mirror msanii wa endless fame wana project. Akifanya Wema maneno akifanya diamond ni sawa...double standards hizo. Huyo dimond ni sawa kutembea na mama yake? Mtu 39yrs/24 kweli?
Mbona mnaukataa ukweli? Kwenye Coop on coop na kwingineko waganda wanamtapika zari nyie watz kisa chuki binafsi zenu kwa watz wenzenu mnafagilia ujinga. Wema na zari ni km mkojo na mavi in terms of behavior. Kwa kifupi diamond ameyapakata majanga maana haitaishia tu kwenye ngoma ila hadi drugs atabebeshwa. I'm here mark these words.
 
Ooh wema kachoka kakongoroka mbona hilo BMW hamkuhongwa nyie msiochoka?? Ukweli kila mtu na nyota yake ...nyota ya Wema ni ya kula akiwa amelala. Analetewa kitandani. Utakataa kukichukua kisa ni cha bure?? Kwanza cha bure kitamuuuuuuuu hata mimi nakula cha bure hapa ila kwa kipindi maalumu. Lakini hata hivyo kazi anafanya kwani kule Airtel unadhani ni charity ile??
 
Mwl naomba ufungu siku 39 kumuombea wema! yani toto jinga sana hili litazidi kudhalilishwa kila Leo! alivyo kichwa maji anaweza kwenda kwenye party ya zari kuchungulia!

Tafadhali mpelekeni kwa kakobe!
Naona anaelekea kuwa fyatu kwa ajili ya penzi la mtoto w tandale ha ha ha alitishia kujamba kumbe anaumwa tumbo
 
Ooh wema kachoka kakongoroka mbona hilo BMW hamkuhongwa nyie msiochoka?? Ukweli kila mtu na nyota yake ...nyota ya Wema ni ya kula akiwa amelala. Analetewa kitandani. Utakataa kukichukua kisa ni cha bure?? Kwanza cha bure kitamuuuuuuuu hata mimi nakula cha bure hapa ila kwa kipindi maalumu. Lakini hata hivyo kazi anafanya kwani kule Airtel unadhani ni charity ile??

Mi nilikua natania tu wema mzuri kwelii
 
Mi nilikua natania tu wema mzuri kwelii
Dinazarde tena wewe unanivuruga ujue hehehe ntakupasuaaaaaaaaaaa sema tu nakuheshimu ujue. Kajala mzuri mbona aud hakupewa kadi na kodi ya nyumba ilitaka kumshinda juzi? Leo naandika tu full magazeti. Ntaandika na kujijibu mwenyewe
 
Last edited by a moderator:

Mi nilikua natania tu hehee ngoja nilale kesho nikute magazeti ya uhakikaaaa nisome npaka nilewe sawa mama
 
Last edited by a moderator:
Mwanzoni alijifanya anapotezea mara ana like picture zile za zar na diamond walizokuwa wakipiga wamebusiana. Sasa ivi naona imekuwa ngumu kumesaa

inauma bwana hasa kwa mtu uliyemtoa mwenyewe bikra(kumfundisha ujanja wa mjini hasa kiingereza)
leo anakitumia kugongea mademu wakali kushinda wewee
 
Back
Top Bottom