DED Magu angalia sana Idara ya Elimu Msingi

Nimewafuatilia kwa siku kadhaa sasa... Naona mnajaribu kuwa chafua wasiochafuka...
Wanapambana kumchafua Majura wakiamini kuwa, kwa kufanya hivyo kuwasafisha Glory, Johari na Prisca.
Gidamaa nilisoma maoni yako tangu siku ya kwanza ulivyoyatuma; niliamua kukaa kimya ili niendelee kusoma michango ya wanajukwaa wengine.
Naona umeamua kuvaa silaha za vita (kama hujavalishwa na Glory, Johari na Prisca) ili upambane na Nyagabona, ambaye kwa mawazo yako na hao waliokutuma, mnaamini kwamba Nyagabona au Majura ndio walioandika malalamiko haya kwa DED; mnajidanganya!!
Mnawaza hivyo kwa sababu dhamiri zenu zinawasuta kwani huyo Glory (akichagizwa na Johari) ndiye chanzo cha kuhamishwa kwa Majura; na mkakati wa kumhamisha Nyagabona unaendelea kwa kumtumia REO Mwanza kama mlivyofanya kwa Majura.
Unasema Nyagabona lazima ahame Magu eti kwa sababu amekuwa mwananzengo kwa hiyo ameweka mizizi. Ni kosa kwa kiongozi kuwa na mahusiano mema na watu anaowaongoza? Kwa mtazamo wako wewe mahusiano hasi kati ya kiongozi na watumishi anaowaongoza ndiyo yenye tija mahala pa kazi? Hujui usemalo, wala siamini kama DED anaweza kuchukua ushauri wako huo wa hovyo!!
Wapo maafisa wengi tu waandamizi hapo halmashaurini waliokaa muda mrefu kwa mfano Mkaguzi Mkuu Kaswa, Mkaguzi Mwandamizi mkewe Tungu Kasiga, na wengineo hata huyo mswahilina mwitu Johari (mchana baibui, usiku kwa Mbochi); mbona huwataji hao kuwataka wahamishwe?
Unadiriki kusema eti Nyagabona alikuwa anautarajia u-DEO kana kwamba babu yake ndiye anayegawa vyeo!! Vipi wewe?
Nyagabona ana uwezo, hata kama hamtaki kukubali; amekuwa Afisa Elimu Taaluma msingi tangu enzi za DEO Mtunga, Massaga, Kanyuma, Saryankanga na sasa Glory.
Kwa nini Nyagabona aonekane sasa kwamba ni tishio kwa cheo cha Glory?
Msiwe na tabia kama za mbwa mwenye kichaa; ambaye huwa anang'ata kila anachokiona mbele yake, iwe jiwe, mti, mnyama mwingine au mwanadamu akidhani kwamba hicho anachoking'ata ndicho kinachomsababishia shida kichwani mwake, kumbe shida imo kichwani mwake mwenyewe!!
Shida ya Glory haiko kwa Majura wala Nyagabona, but the problem is within herself!! Hajiamini kutokana na namna alivyopata madaraka hayo; anajua hana vigezo na hatoshi kuwa DEO. Anakijua kilichomwezesha kupata u-DEO lakini siyo vigezo.
Gidamaa unataka watu waliokaa muda mrefu Magu wahamishe kwa sababu tu wamekaa muda mrefu? Kukaa muda mrefu eneo moja la kazi siyo kigezo pekee cha kumhamisha mtumishi, unless viwepo vigezo vingine vinavyoambatana na kigezo hicho.
Unamchagiza DEO Glory awatie moyo waalimu wanawake wenzie maana wakati wa Saryankanga walikuwa utumwani kwa kuvuliwa chupi na hilo bazazi!! Siamini kama Glory anaweza kuwa kiongozi mzuri iwe kwa waalimu wa kike ama wa kiume kwa sababu, kwanza wanawake wenyewe wana tabia ya kupigana vita, kudharauliana na kuonyeshana umwamba, kila mmoja akijiona yuko juu na huwa wanapenda kukomoana zaidi kuliko kusaidiana, especially kwenye mambo ya kiofisi.
Kwa waalimu wa kiume, huyu Glory siamini kama atawatendea haki kwa sababu ya ile hali ya kutojiamini kwake, kutokuwa na vigezo na namna alivyopata madaraka hayo. Atakabiliana na matatizo hayo kwa kuwa strict kupita kiasi, akiamini kwamba atawatiisha waalimu kwa kuwatisha badala ya kuwa humble na cooperative.
Juzi Alhamisi, DED Magu amemsifia sana DEO Glory na timu yake kwenye semina ya Mtihani wa DRS la IV 2019 iliyofanyika Mugini; kwamba eti wanafanya kazi nzuri, wasijali mambo yanayoandikwa kwenye mitandao; n.k Mkurugenzi ni kiongozi mkuu wa halmashauri, haitegemewi a-crush utendaji wa ofisi ya elimu mahali kama pale, lakini ukweli anaujua.
Bado natoa wito kwako DED Magu, waondoe ofisi ya elimu Magu DEO Glory, Johari na Prisca.
 
Aisee Kaji; ulijuaje kwamba pale Bundilya mwalimu mkuu atakayeziba nafasi hiyo atakuwa mwalimu mwenye jina la Ali, Juma, Rashid, Fatuma au Hadija au lenye kufanana na hayo?!
Mwalimu aliyechukua nafasi hiyo anaitwa Mohammed a.k.a Muddy; naona Johari amemchezesha Glory mpaka ameingia kingi!! Dah, wakina Emmanuel, Pius, James, Jane au Mary na wengine wote wenye majina ya kufanana na hayo mna wakati mgumu kwa mswalihina huyu Johari Mwasha; labda muwe mnatoka kaskazini maana huyo Johari anayemchezesha Glory wote ni kutoka huko!!
 
Tena huyo Muddy alimpigia simu mwalimu aliyekuwa amekabidhiwa shule na mwalimu mkuu aliyevuliwa madaraka; akamjulisha kuwa yeye (Muddy) ndiye ameteuliwa kuwa mwalimu mkuu Bundilya S/M, kwa hiyo aandae makabidhiano haraka jamaa yuko njiani kuja kuripoti!!
Naona Muddy aliambiwa afanye chapchap uteuzi usije ukapigwa "ajua" kutokana na yanayojiri mitandaoni. Kwa kawaida Muddy alitakiwa aanzie kuripoti kwa MEK wake wa Kahangara; ambaye ndiye msimamizi wa mtiririko mzima wa makabidhiano.
 
Hapo kuna mkuu wa wilaya kilaza sana na kijana mmoja mkuu wa usalama wa taifa wilaya ya magu wote ni wabovu huyo kijana hanui analo fanya kazi umalaya na kulinga anajiona yeye ndo mlinzi pekee wa nchi hii washienzi kabsa
 
Hapo kuna mkuu wa wilaya kilaza sana na kijana mmoja mkuu wa usalama wa taifa wilaya ya magu wote ni wabovu huyo kijana hanui analo fanya kazi umalaya na kulinga anajiona yeye ndo mlinzi pekee wa nchi hii washienzi kabsa
Mkuu Sifi Leo; naheshimu sana mchango wako, lakini nakusihi ujikite kwenye mada. Hao uliowataja, hawahusiki moja kwa moja na jambo hili, japo kwa mamlaka waliyonayo wanaweza kuingilia kati.
Kuwa makini na maneno unayotumia kwenye uandishi wako, utavuruga mambo!
 
Hagwila hoja zako zinagonga sana; ndio maana walengwa wanasema wewe ni mwalimu maana taarifa unazozileta hapa jamvini ni za kweli, japo walengwa na wapambe wao hawalikubali hilo maana mtu kukiri udhaifu wake ni vigumu sana, mpaka abanwe sana.
Kama DED Magu atasimama kwenye ukweli na hatatetereka kuhusu hili jambo, basi atachukua hatua kwa yale yaliyo ndani ya uwezo wake ili kurejesha uthabiti na utulivu (control and harmony) kwenye ofisi ya DEO Magu. Lakini akiamua kupotezea kwa sababu yoyote ile, hali itaendelea kudorora na matokeo yake (impact) hayatakuwa mazuri.
Siyo siri; ni kweli kuwa Johari yuko nyuma ya mambo yote ya hovyo yanayofanywa na DEO Glory Mtui. Johari amemtia hofu Glory na kumwaminisha kwamba maofisa waandamizi hapo ofisini wako kinyume naye DEO kwa hiyo watamng'oa!!
Johari amem-outsmart Glory, ambaye amekuwa kama boya kwenye kamba ya mvuvi ziwani; kamba ikizamishwa na boya linazama; kamba ikiibuliwa na boya linaibuka.
Johari anaitaka nafasi ya Nyagabona, anamtumia Glory kama accessory kufanikisha malengo yake.
Glory kwa kushawishiwa na Johari na kuaminishwa kwamba SLO Majura alikuwa threat kwake, Glory akaamua kutumia influence yake kwa REO Mwanza Majura akapigwa uhamisho kwenda Misungwi.
Johari huyohuyo amemtumia tena Glory ili afanikishe malengo yake, kwa kumshawishi Glory amwandikie DED Magu andiko la kumshauri amhamishe Nyagabona kutoka Taaluma Msingi ampeleke Taaluma Sekondari; kweli Glory alimwandikia DED Magu; lakini naona DED Magu bado anatafakari ushauri huo wa Glory; ushauri ambao akiukubali, basi Johari atalipata hilo chaka la Nyagabona kirahisi sana maana kwa sasa ni kama msaidizi wake!! Anayebisha na abishe, lakini Johari, Glory, Nyagabona na DED mwenyewe habari hii mnaijua; hakuna majungu hapa!!
Tunasubiri mitihani ya DRS la IV ipite, mwende Ukerewe kwenye selection, (sijui Mbochi anakwenda tena na mamaa Johari?); mkirejea mwendelee na mkakati wenu wa kuwapangua wasiowataka!! Ipo siku na ninyi mtakataliwa, tena si muda mrefu; kila jambo lina majira yake, na wakati kwa kila kusudi.
 
Kwani huyo majura kaja lini magu!?
 
Kwa muda mrefu nimefatilia huu mjadala na kuona comments mbalimbali ,a wadau hapa.nikagundua yafuatayo.
1.hapo ofisini kinacho sumbua ni struggle for power .nyagabona,majura wapo against glory na johari hilo halina ubishi
2.aliyeleta post hii ni kati ya hao wawili coz wapo well informed on what is going on in that department.
3.ila pia najiuliza kama wana hoja za msingi kwanin huu waraka wasimpeleke DED au DC ofisini ili waufanyie kazi hadi kuja huku jamii forum tena na fake ID kutoa kilio chao!?au walishapeleka hizi habari kabla kwa wahusika then wakaonekana ni wafitini!?
4.haiwezekani a merely civilian akawa well details hiv na habari za department ya elimu ht na current issues e.g kikao cha walimu kichofanyika juzi...
5.kwann wanamsifia sana majura wakati ni hopeless na kila mtu anajua.
5.ukisema mafanikio ya idara ya msingi ni kazi ya majura sio kweli kwani nae hapa magu hana muda mrefu hajamaliza hata miaka miwili,pia alitoka ukerewe kwa ile kashfa ya wanafunzi kufaulu sekondari nila kujua kusoma na kuandika.
Kwa ujmla wake ukisoma mtiririko wote huu kwa kiasi kikubwa ni majungu na power struggle inayoendelea katika hiyo idara...
Mtu yoyote hawezi kufanyia kazi majungu kama haya zaidi ya kuyapuuza.
 
musodan asante kwa mchango wako; nataka nitembee juu ya hoja zako kama ifuatavyo:-
1. Kinachosumbua ofisi ya DEO Magu ni kutokujiamini kwa Glory kwa sababu ya kutokuwa na sifa; amepewa cheo hicho kama favour baada ya kumfurahisha REO Mwanza kingono akiwa Taaluma Msingi Ilemela, REO Mwanza akampigia debe Glory TAMISEMI akapata u-DEO.
Kibaya zaidi IQ ya Glory iko chini ya ile ya Johari, anazidi kujazwa ujinga na anakubali kutumika kuwashambulia hata kuwaondoa kabisa maofisa wenye weledi na uzoefu kuliko yeye; akiaminishwa kwamba, akiwaondoa hao atabaki salama na underperformance yake bila challenge.
Wakati huohuo Johari anataka nafasi ya Nyagabona, akiamini atapata support ya REO Mwanza, ambaye naye ana mahusiano naye ya kingono!
2. Majura au Nyagabona wana uwezo wa kuwa ma-DEO, lakini uteuzi wao hautegemei kunyofolewa kwa Glory kwenye nafasi hiyo; kwani Halmashauri yenye hiyo nafasi ni Magu peke yake? Wanaojua udhaifu wa Glory kwani ni Majura na Nyagabona peke yao hapo ofisini? Hata DED Magu anajua kwamba DEO ni kimeo na alishamshauri mara nyingi kwenye vikao mbalimbali lakini habadiliki kwa sababu elimu yake ndogo, hana uzoefu, IQ ndogo pia; what do you expect?
3. Ujumbe huu aliandikiwa DED Magu; no matter how the message was sent; muhimu ni ujumbe kumfikia mlengwa. Nina uhakika ujumbe ulimfikia DED Magu. Hata huu utetezi wako atausoma tu, lakini siamini kama atauzingatia kwa sababu hauna mashiko.
4. Unatuita "merely civilian" hatuwezi kuwa "well details hivi" Kwanza rekebisha uandishi wako wa sarufi ya kiingereza; halafu usidharau usiyemjua. Eti "merely civilian.... well details hivi" Unataka wote tufanye kazi Idara ya Elimu au wote tuwe waalimu. Au unadhani mambo yote yanayofanyika kwenye maofisi hayajulikani kwa watu walioko nje ya ofisi? Hata habari za nyumbani kwako zinajulikana na watu wasio wa nyumbani kwako. Kama wewe huwezi kupata taarifa unazozihitaji kutoka mahali fulani, hilo ni tatizo lako. Kama hujui waingereza wanasema "even walls have ears" na wanasema tena "information is power"
Wewe kalaga baho utuite "merely civilian tuko delails hivi" Kazi kwako!!
5. Unasema Majura hahusiki na mafanikio ya ufaulu wa PSLE 2019 kwa sababu hana muda mrefu tangu aje Magu kutoka UK; OK, huyo Glory Mtui alifika lini Magu kama DEO? Majura amefika Magu kama SLO kabla ya kufika Glory; nani ana mchango mkubwa wa mafanikio ya elimu Magu kati yao?
6. Fake ID unayoisema haiathiri ukweli na usahihi wa kinacholalamikiwa. Zingatia ninachokisema, jina langu siyo muhimu!!
JF ni Social Media yenye hadhi kubwa inayotambulika na kuaminika mpaka kimataifa; ilisifiwa mpaka na kiongozi wa juu wa African Union kwenye mkutano mmoja wa viongozi wa AU; wewe inaibeza JF?
Ndani ya JF kuna mengi kama siyo yote, kuanzia habari za mitaani hadi za kimataifa, kuna elimu, burudani, mapenzi, biashara, n.k.
Sisi "merely civilians" tunalijua hilo, wewe civil servant unajua jukwaa lipi? MAGU ELITES? Hovyo na Admim wenu Buhatwa!!!!
 
Mkuu Musodan;
Mtu yuko huru kutumia njia yoyote ya mawasiliano kufikisha ujumbe alioukusudia pahali husika, ilimradi havunji sheria. Naamini mtoa Ujumbe ana vigezo anavyotumia kuamua njia ya kutumia kufikisha ujumbe, usalama wake kikiwa ni kigezo mojawapo.
Muhimu ni ujumbe umfikie mlengwa, na muhimu zaidi achukue hatua za masahihisho (Corrective Action) ya kinacholalamikiwa kama kina mashiko.
JF ni jukwaa linaloaminika na kuheshimika kwani linaunganisha watu mbalimbali wa kada na caliber tofauti tofauti, kuanzia watu wa kawaida mpaka professionals; usipachukulie JF kwamba ni jukwaa la hovyo, utakosea sana.
Kwa taarifa yako, (kama huna); Maxence Melo ambaye ni mmilki mwenza wa JF, jana kule Marekani, amepokea tuzo ya kimataifa ya International Press Freedom Award kwa mwaka 2019, iliyotolewa na Committee to Protect Journalists (CPJ). Unaliona dogo hilo?
Nimelitaja hilo kwa sababu katika hoja yako umiponda JF kana kwamba ni jukwaa lisilofaa kwa mawasiliano!! Unamshauri mlalamikaji aende kwa DC; why? Kama hana hiyo nafasi lakini kwa wakati wake anaweza kuandika kwa nini asimwamdikie DED Magu hapa JF?
Ni matumaini yangu kwamba Mkurugenzi ameupata Ujumbe uliokusudiwa kwake.
 
Maisha na stress zenu ,mnataka kuhamishia ofisi ya d.o hamna loloye nyie ni waoga tu kama kweli mnayajua hayo kwa nino msipeleke ofisi ya mkurugenzi ...unakuwa muoga muoga , nakumtetea huyo mzinzi mwenzenu kachezea walimu wengi , unadhani waume wa hao madamu walikuwa wanafurahia

Malipo ni hapa hapa duniani ETI ..MAJURA jina kama mzizi wa dawa na wac wac na taaluma yako sana !! Maana hujitambui unapelekwa pelekwa ...

Tena d.o azidi kungoa mizizi asikate mashina ...ili nyie vibaraka !! Mnyoooke kabisa !!
 
Wewe KANYEGELO huna hoja za maana za kuchangia kustawisha mjadala huu; huna uwezo huo.
Nasema hivyo kwa sababu hoja unazotoa hazina mashiko; zaidi ya kuwa za kishabiki tu ili kuwapigania hao mambumbumbu wenzio waliokutuma Glory na Johari.
Unasema mleta mada eti ana stress, mwoga n.k; umejikita kwenye kashfa na vijembe badala ya kujibu hoja dhidi ya malalamiko yaliyoorodheshwa kwenye thread.
Mada imekuwa addressed kwa DED Magu kupitia JF; wewe unasema kama mtoa mada ana hoja basi aende kwa Mkurugenzi!! Kwani Mkurugenzi hajapata ujumbe huu tangu tarehe 05/11/2019?
Wewe mwenyewe na hao mambumbumbu wenzio mliupata ujumbe sawia, dawa iliwaingia; ndio maana ulitumwa wewe kiraka ukafungua akaunti Jamii Forums tarehe 12/11/2019 ili uweze kutoa mapovu haya unayotoa.
Ni heri basi ungekuwa unajibu malalamiko yaliyotolewa dhidi ya hao walalamikiwa, maana ni ya kweli na hata wao na Mkurugenzi wanajua.
Badala yake wewe ukiingia jukwaani unaingia kumtukana Majura tu, eti waalimu wa kike aliwapa shida sana!! Inawezekana alikukazia demu wako, au kama wewe mwenyewe ni demu, basi ulijilengesha kwa jamaa akakupiga kitu without fulfilled expectations; ndio maana unaongea kwa msisitizo kwamba jamaa ni mzinzi; amekukazia au alikukaza!! Pole lakini. Unategemea kutoa mapenzi kwa wanaume ili upate cheo? Poor you!!
Unamchagiza Glory akate mashina!! Ofisi hiyo ni mali yake? Yeye ni mwajiri? Yeye kaajiriwa, hata hao anaowanyanyasa kwa kutokujiamini kwake ni waajiriwa tena wameajiriwa kabla yake; only that she was rewarded a chance of being a team leader after being molested; but unfortunately she can't deliver any positive results in the office.
Namshauri DED Magu azishauri mamlaka za uteuzi wa Glory zifanye mabadiliko; ikiwezekana Glory na huyo Johari waende wakaongeze elimu. Hiyo itawaongezea maarifa ya uongozi, usimamizi na kujiamini.
 
Acha wivu we mwalimu maskini pambana na hali yako.
 
Halafu wewe utakuwa teacher Sinda wallah tena.
 
Lutengano yumo humu atauona huu Uzi.
Dogo Lutengano angalia walimu wako hapo Magu wanazingua, na wakuda wameshashare Uzi ili DED aupate directly kwa simu janja yako.
 
Noma sana ...
Umeamua kujiunga upya kujibu shutuma aisee!
Wewe ndio yupi kati ya wanaotajwa na mlalamikaji?
Nina imani DED analifanyia kazi maana ujumbe umemfikia.
Watumikieni watanzania katika haki na usawa, cheo ni dhamana.
 
Naona unajipigia chapuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…