TANZIA DED wa Korogwe, Kwame Daftari afariki dunia

Ukweli utabaki kuwa ukweli ma DED walidhurumu haki wakati wa uchaguzi.
 
Ukweli utabaki kuwa ukweli ma DED walidhurumu haki wakati wa uchaguzi.
Walidhulumu......

Kuna ukweli na hisia za kushindwa, zote zikiwekwa katika mizani ya kisiasa na zikapata waunga mkono wanaokubali kuchezeshwa ngoma za wenzao zinaleta tafsiri tofauti kulingana na upande wa muunga mkono husika.
Sasa Basi hakuna uhusiano wa kifo na Aina yoyote ya wewe kukosa nafasi ya uongozi.
Kifo Ni sehemu ya kila mmoja aitwaye mwanadamu.

Wakati ukifika hakika utakufa, hakika nitakufa na yoyote yule atakufa bila kujali anahisia na chama gani.
 
Wala sihitaji nafasi ya uongozi hata akifa jambazi kifo hakiwezi kusababisha watu wasahau matendo yake.
 
Wala sihitaji nafasi ya uongozi hata akifa jambazi kifo hakiwezi kusababisha watu wasahau matendo yake.
Utahitaji vipi wakati umeshaikosa kwa Sasa? Na uliotaka wawe wameikosa, subirini wakati ujao ikiwa uhai utaendelea...jambazi Ni binadamu Kama ulivyo wewe, hivyo kifo ni sehemu ya Safari yake na yako. Endelea kutenda wema na ukimaliza kuwasimanga unaodhani waovu dhidi yako Basi uwaombee wawe wema kukuzidi.
Asante
 
Ushindi mlioupata hata wenyewe unawasuta, mmlikatalaliwa na wapiga kura pamoja na mifugo yao. Siasa za CCM ni za kutumia dola kulazimisha kuwa madarakani.
 
Ushindi mlioupata hata wenyewe unawasuta, mmlikatalaliwa na wapiga kura pamoja na mifugo yao. Siasa za CCM ni za kutumia dola kulazimisha kuwa madarakani.
Poole, jaribu Tena wakati ujao, ukiweza kuwashawishi wapiga kura unaweza fanikiwa pia.
 
Tushindane kwa hoja weeee coma Lissu aliwashinda kwa hoja mkachapa 16 bila aibu.
 
upinzani bongo[emoji706]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…