TANZIA DED wa Korogwe, Kwame Daftari afariki dunia

wapi na wapi waliingiza kura kweny mabegi!? kwani lini upinzan walizuiwa kutumia wasanii kujaza uwanja!?
Mmh mawakala wa wapinzani ilikua mbinde kuapishwa na matokeo ya litangazwa na DED baada ya kuongezewa viungo. Haukua uchaguzi. Sasa waliowapa ushindi wanaondoka.
 
Kwa Amani ipi!? Yuda iskariote anapumzikaje kwa Amani...

Yesu alisema Ole wake atakayemsaliti Mwana wa Adamu....!!!

Ded akastahili yanayomstahili....to hell[emoji41][emoji25][emoji25]
 
upinzani ubadilike kwanza, Kama utaendelea huu huu wa kinjaa njaa basi watakaa milele madarakani
Upinzani huu huu ikiwepo Tume huru mnagaragazwa asubuhi.
Hamna aibu mnataka kujichagualia aina ya upinzani!
Bora mkae kimya mfe mmoja baada ya mwingine.
 
Mm naona tatizo ni juma , ndo aliiba kura hawa ma DED ni innocent
 
nawewe utafuata tu
Nipo njia moja!
Ila nyie muweke mambo sawa,kabla hamjaondoka mkaisha hakikisheni mnawakabidhi familia za kina Ben, Azori na wengine makaburi ya wapendwa wao ili nao wafanyiwe ibada, wayajengee na kuyatunza.
 
Kuna faida gani kuyapata yote duniani kwa ghiriba huku ukiiangamiza roho?
Bible
Duniani Utapata Yote, Mbinguni Uzima Wa Milele
Sasa Kama Ulifanya Fitna Hapa Duniani Ndugu Zangu
 
Ww ni matanga pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…