TANZIA DED wa Korogwe, Kwame Daftari afariki dunia

TANZIA DED wa Korogwe, Kwame Daftari afariki dunia

Hizi mindset zenu za kufurahia vifo vya walio kinyume na ideology zenu, nanyi aisee!
Huko siasani mnafundishana upuuzi kwamba kifo sio haki au kifo ni adhabu tena yamstahili mpinzani wako wa mawazo, upuuzi kiwango Cha juu Sana kudhani kifo ni adhabu kwa usiempenda.
Kwahiyo wakifa wa chama chenu mnaojipa utakatifu kutafuta huruma kwenye maslahi yenu ya kisiasa, nao chaitwaje kifo chao?
Kifo Cha mtu mwingine sio faraja kwako kwakuwa nawe lazima ufe wakati ukifika. Pambaneni kwa hoja zenu za kisiasa na si kuhusianisha kifo na tofauti zenu za kisiasa ilhali kila mja yampasa kifo.

Roho ya mwendazake ipumzike kwa amani.
Punguza hasira,kunywa maji
 
Umeshakufa, kuwekwa ndani na kupotea lini tangu uanze kuwa mwanasiasa uchwara?
Changamoto inapunguza ccm kwa kasi na bado mpka jobu imtwae kipindi hiki
IMG_20210214_195419.jpeg
 
sky usipo badirika utabaki hivyo hivyo, badirika badirika siasa ni sawa na mchezo wa, mpira achana na siasa za namna hiyo ulizo zihifadhi moyoni mwako, usisahau hapa ulikuja bila chama utarudi bila chama.
Kwa hivo siasa amuachie Nani?
Uchaguzi uliopita wananchi kudhulumiwa haki yao ya kikatiba ya kumchagua kiongozi Bora wewe unaona Ni sawa tu.
 
Back
Top Bottom