TANZIA DED wa Korogwe, Kwame Daftari afariki dunia

TANZIA DED wa Korogwe, Kwame Daftari afariki dunia

Hizi mindset zenu za kufurahia vifo vya walio kinyume na ideology zenu, nanyi aisee!
Huko siasani mnafundishana upuuzi kwamba kifo sio haki au kifo ni adhabu tena yamstahili mpinzani wako wa mawazo, upuuzi kiwango Cha juu Sana kudhani kifo ni adhabu kwa usiempenda.
Kwahiyo wakifa wa chama chenu mnaojipa utakatifu kutafuta huruma kwenye maslahi yenu ya kisiasa, nao chaitwaje kifo chao?
Kifo Cha mtu mwingine sio faraja kwako kwakuwa nawe lazima ufe wakati ukifika. Pambaneni kwa hoja zenu za kisiasa na si kuhusianisha kifo na tofauti zenu za kisiasa ilhali kila mja yampasa kifo.

Roho ya mwendazake ipumzike kwa amani.
Mkuu mfe tu kiukweli mnasababisha maisha magumu kwa sera mbovu kabisa kuwahi kutokea hapa
 
Alale pema mwendazake ,raha ya milele umpe ee bwana mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa
amani amina.
 
View attachment 1703408
Mkurugenzi wa Halmashauri Wilaya ya Korogwe, Kwame Daftari amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu jijini Dar es Salaam.
Huu utaratibu wa kuwazawadia makada wa chama walioshindwa kwenye kura za maoni ndani ya chama, ulikuwa ni utaratibu wa hovyo sana.

Rest In Peace Kada! Umeondoka ukiwa bado ni Kijana Mdogo! Nina imani pia enzi za uhai wako, ulitumia kila aina ya maarifa na nguvu zako, kuhakikisha tu chama chako cha CCM kinaendelea kubakia madarakani. Pole sana kwa kutangulia.
 
Ila mods wafanye marekebisho,hiyo picha ni ya watu wawili tofauti,huyo mwenye unifomu ya CCM ni mheshimiwa mbunge wa hilo jimbo ambaye bado yupo hai.
 
shida ya kupumua au...
Chanzo Ni kuwanyima haki yao' ya kikatiba wapinzani.
Ndio maana hii thread imechangamkiwa sana.
Kwa waenda zao waliofanya mema hapa duniani utaona RIP nyingi zikufuatiwa na maneno ya faraja.
Kama wewe Ni mzoefu humu utakua umenielewa
 
Kuna mfadhili wa chadema alikufa juzi Kati nae aliwanyima haki ndipo akafa?
Kuna siku hamuongei humu jukwaani au maongezi gani ndiyo yahusianishwa na vifo vya walio kinyume na mawazo yenu?
Shindaneni kwa hoja, mnapofurahia vifo kana kwamba mnayo kinga dhidi ya kifo Ni kuonyesha wazi upeo wenu. Kila nafsi itaonja mauti, Basi mwanadamu aliezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi duniani si nyingi nazo zahesabika .......
Kama angekua mtenda mema ungeona RIP nyiingi na maneno ya faraja. Inakuwaje hapa hata nyie wenyewe hamwandiki RIP sana sana mnapinga hoja tu.
 
Hawa walihakikisha diwan na mbunge ni mataga kwa kuchaguliwa au kulazimisha.

Mbona mnaonesha kifo kama ni adhabu kwake. Kumbuka hata nyie mpo kwenye njia hiyo leo au Kesho. Ni chain . So you guys need to relax na muache kuingiza siasa kwenye vifo vya watu.
 
Mbona mnaonesha kifo kama ni adhabu kwake. Kumbuka hata nyie mpo kwenye njia hiyo leo au Kesho. Ni chain . So you guys need to relax na muache kuingiza siasa kwenye vifo vya watu.
Kijana haya enzi za ujana wetu na Tawala zilizopita hayakuwepo kabisaa ila yamekuja baada ya kuingia mtawala asiyejua kutawala na kuongoza huyu mnamuita buludoza bovu lenu. sababu hata vifo vinavotokea vya viongozi zamani ilikuwa ni kumuombea mungu amuweke mahala pema lkn sasa hivi hatuombei kifo kwa mtu ila hebu afe NDUGAYE au MEKO mwenyewe haitakuwa msiba tu itakuwa MSIBA na SHEREHE.
 
Ukweli utabaki kuwa ukweli ma DED walidhurumu haki wakati wa uchaguzi.
sky usipo badirika utabaki hivyo hivyo, badirika badirika siasa ni sawa na mchezo wa, mpira achana na siasa za namna hiyo ulizo zihifadhi moyoni mwako, usisahau hapa ulikuja bila chama utarudi bila chama.
 
Back
Top Bottom