Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Naomba nijue kabila la shemejAnalipiza na yeye ana moyo jamani
kama usipo meza panadol leo wewe "" basii niwazi ndugu yngu atakuwa anaishi na ule mdoli "" ameupatia corse yakuongea kiswahili kisha akaufngulia I'd jf[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha tuu shogaa, huyo ndio usingizi wangu ujue. Sipendi kabisa maudhi madogo madogo. Moyo ukifa ganzi mapenzi hupotea na mimi sitaki iwe hivyo, natamani mpenzi wangu nimuone mpya kila siku.
Nasikia kilio kwa ex wakoHatimayee
Shemeji ni mkurya kama hitaji la moyo wako linavyodai!?Nampenda shemeji yako ujue.
mim najua mzito sana nitashindwa kum'beba kumbe ni hvy tu amna tatzo ntampga kwa ubale wa kanga ataachahuyu humuwezi mkuu mpka sasa ..kesha goganisha magari 3 kwenye Uzi mmoja"" na bdo kuna njemba kama 2 hvi ..nimezipigia cm zipo Njiani zinakuja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shamba siuzi
sema ntaongeza heka zingine ili mazao yawe mengi
Namtafutia mtu wa kumpa kampan hukuSijaelewa
Shemeji eti we ni kabila ganiNaomba nijue kabila la shemej
Sinaga urafk na ma ex wa mpenz wangu [emoji23][emoji2][emoji23][emoji2][emoji6][emoji2]Braza Mzigua si huyo tayari unae
Kwani mi na wewe tuna ugomvi?
Ndiyo mkuuMkuu hivi iyo ded. mhusika yumo humu au?
Rudi nyumban unaitwa na mkeo kakakama usipo meza panadol leo wewe "" basii niwazi ndugu yngu atakuwa anaishi na ule mdoli "" ameupatia corse yakuongea kiswahili kisha akaufngulia I'd jf
NooPoleee
Mruhusu leo shem aje alale huku kwetu hasira zpungue
[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]Mpenz wako sio mchoyo ndo shida [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wewekama usipo meza panadol leo wewe "" basii niwazi ndugu yngu atakuwa anaishi na ule mdoli "" ameupatia corse yakuongea kiswahili kisha akaufngulia I'd jf
Jamaa amesha pewa mwenge na mods aukimbize """ hahaaaMume ninae shogaa.sio wewe danga la JF.na mwambie uyo mwenzako akamrambe bibi yake ukurutu wa mkunduni unawasha[emoji23] [emoji23] [emoji41] [emoji108] [emoji108]
Sio hvo bnaAtakuwa analipiza [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
AfazaliJamaa amesha pewa mwenge na mods aukimbize """ hahaaa
Ila atakuja tenaJamaa amesha pewa mwenge na mods aukimbize """ hahaaa
HapanaShem kwani we ni dalali jamani
Huyo atarudi tena na nyingineJamaa amesha pewa mwenge na mods aukimbize """ hahaaa