Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Shemeji Jolie anauliza we ni Kabila ganiMsisitizie aelewe hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shemeji Jolie anauliza we ni Kabila ganiMsisitizie aelewe hilo
Eti uongo mr's Zero iq[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]malizana na Toto la kitanga mkuu "" yaani ameshakufilisi ndio unakumbuka kuwa una familia ??
hii hata shetani hapendi aisee
Mkurya ojiiiiii.......Shemeji eti we ni kabila gani
nayo itapigwa ban tuHuyo atarudi tena na nyingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ney nihurumie mbavu zanguKweli shunie mechoka kupigana vikumbo na wanawake wenzangu, kama kweli anampenda mkewe kwanini asimjali na kumuepushia haya mabalaa ya ugomvi kila mtaa,
Ona sasa nimeambiwa mume wangu sio mchoyo shunie naumia mwenzio basi tuu.
Yaan nikimuangalia mpenzi wangu usoni natamani nilie kwa sauti labda nitapata nafuu
Lala nae at ur own riskNoo
Ana lala huku huku home braza
There is nothing moreAcha tuu niendelee kuona uchafu wote moyo wangu uzoee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tushayazoea hivi ni mwanaume au mwanamke haelewekiTuje tuyaoge vizur
Ndio nilivo mkuu.[emoji23]
Braza acha roho mbaya bas
Ujue saa hiz spendi kucheka
Woooooooozeeeeeeeer kabila analolipenda wakunyumba halafu ana bahati nayoMkurya ojiiiiii.......
Umenielewa vibaya shemIla ni nini shemeji
Labda mwanaume[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tushayazoea hivi ni mwanaume au mwanamke haeleweki
Sawa love bSiwezi. Maigizo yana wenyewe mkuu
Mbona ndio zake zikipigwa ban anarudi tenanayo itapigwa ban tu
Usiniaibishe homeboyNasubiria mkalimani na Uzero wangu nimetoka Zero sijaambulia Chochote.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
pole sana mtoto mzuri ...mimi ni doctor wa psychology... nime ku pm "" namba zangu usisahau kunitafuta nikusaidie kutatua hilo balaaa"" ni suala Dogo tu hilo lisikutafune akili tafadhali "" nitakusaidia nakila kitu kitakaa sawa..sawa mamaaKweli shunie mechoka kupigana vikumbo na wanawake wenzangu, kama kweli anampenda mkewe kwanini asimjali na kumuepushia haya mabalaa ya ugomvi kila mtaa,
Ona sasa nimeambiwa mume wangu sio mchoyo shunie naumia mwenzio basi tuu.
Yaan nikimuangalia mpenzi wangu usoni natamani nilie kwa sauti labda nitapata nafuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unataka kutambika ?[emoji5][emoji5]
Kumbe ndo maanaMkurya ojiiiiii.......
Mpe babu yako NNMe sina kaka shemeji