Dedicated to my sweetheart mtoto wa kitanga

Kweli shunie mechoka kupigana vikumbo na wanawake wenzangu, kama kweli anampenda mkewe kwanini asimjali na kumuepushia haya mabalaa ya ugomvi kila mtaa,

Ona sasa nimeambiwa mume wangu sio mchoyo shunie naumia mwenzio basi tuu.

Yaan nikimuangalia mpenzi wangu usoni natamani nilie kwa sauti labda nitapata nafuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ney nihurumie mbavu zangu
 
Kweli shunie mechoka kupigana vikumbo na wanawake wenzangu, kama kweli anampenda mkewe kwanini asimjali na kumuepushia haya mabalaa ya ugomvi kila mtaa,

Ona sasa nimeambiwa mume wangu sio mchoyo shunie naumia mwenzio basi tuu.

Yaan nikimuangalia mpenzi wangu usoni natamani nilie kwa sauti labda nitapata nafuu
pole sana mtoto mzuri ...mimi ni doctor wa psychology... nime ku pm "" namba zangu usisahau kunitafuta nikusaidie kutatua hilo balaaa"" ni suala Dogo tu hilo lisikutafune akili tafadhali "" nitakusaidia nakila kitu kitakaa sawa..sawa mamaa
 
Back
Top Bottom