Dedicated to my sweetheart mtoto wa kitanga

Nasubiria mkalimani na Uzero wangu nimetoka Zero sijaambulia Chochote.

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Ney nimecheka mimi jamani ulivyoongea
Kweli shunie mechoka kupigana vikumbo na wanawake wenzangu, kama kweli anampenda mkewe kwanini asimjali na kumuepushia haya mabalaa ya ugomvi kila mtaa,

Ona sasa nimeambiwa mume wangu sio mchoyo shunie naumia mwenzio basi tuu.

Yaan nikimuangalia mpenzi wangu usoni natamani nilie kwa sauti labda nitapata nafuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…