Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Ujinga unao wewe usiyetaka kukubali UkweliAcha ujinga na kitukuza wazungu kila jamii iliyo ndani ya Marekani ina mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa hilo.
Mchango walio nao watu weusi Marekani na ulaya ni wa ulinzi jeshini na sports ambao umeasisiwa, kuratibiwa na unaongozwa na Wazungu...kwny politics wapo kama wazugaji tu
Dunia ya sshv maendeleo yanabase kwny science & technology
Acha unyani