"Deep state" huu ni wakati wa kuandaa chama kingine kushika dola, kijani imeshindwa kutufikisha

"Deep state" huu ni wakati wa kuandaa chama kingine kushika dola, kijani imeshindwa kutufikisha

Ccm imechokwa..bora waje na jina lingine..halafu mfumo wa kijamaa umepitwa na wakati..kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake.

#MaendeleoHayanaChama
 
Deep state ya akina zero, msoga na diwani😂😂😂😂😂
 
Mbona unamringishia?
We kama unawajua funguka hapa,
Ndani ya jeshi kuna kitu kinaitwa MI [emoji16] (Military Intelligence) ukiwajua hawa, ndio uanze kubwabwaja humu, mana naona wengi tunatoa comments ambazo ni ubashiri tuu
 
Back
Top Bottom