Artificial intelligence JF-Expert Member Joined Jan 28, 2021 Posts 1,265 Reaction score 2,252 Jan 9, 2022 Thread starter #61 RAISI AJAYE said: Mkuu wamekusikia chama cha umoja party ndio suluhisho pekee kimeandaliwa ki take over!! Click to expand... Kiukweli kuendelea kuitegemea kijani ni sawa na kusubiri muujiza.
RAISI AJAYE said: Mkuu wamekusikia chama cha umoja party ndio suluhisho pekee kimeandaliwa ki take over!! Click to expand... Kiukweli kuendelea kuitegemea kijani ni sawa na kusubiri muujiza.
Artificial intelligence JF-Expert Member Joined Jan 28, 2021 Posts 1,265 Reaction score 2,252 Jan 21, 2022 Thread starter #62 Muda unakaribia, nakiona chama kipya cha mkakati na katiba mpya kwa mbali
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 20,419 Reaction score 39,217 Jan 21, 2022 #63 Ccm imechokwa..bora waje na jina lingine..halafu mfumo wa kijamaa umepitwa na wakati..kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake. #MaendeleoHayanaChama
Ccm imechokwa..bora waje na jina lingine..halafu mfumo wa kijamaa umepitwa na wakati..kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake. #MaendeleoHayanaChama
MGOGOHALISI JF-Expert Member Joined Apr 16, 2011 Posts 3,294 Reaction score 4,920 Jan 21, 2022 #64 Deep state ya akina zero, msoga na diwaniπππππ
Artificial intelligence JF-Expert Member Joined Jan 28, 2021 Posts 1,265 Reaction score 2,252 Jan 21, 2022 Thread starter #65 MGOGOHALISI said: Deep state ya akina zero, msoga na diwaniπππππ Click to expand... Hao hamna kitu, hata wenyewe wanapelekeshwa tu.
MGOGOHALISI said: Deep state ya akina zero, msoga na diwaniπππππ Click to expand... Hao hamna kitu, hata wenyewe wanapelekeshwa tu.
U Unknown2 JF-Expert Member Joined Oct 16, 2016 Posts 2,352 Reaction score 5,055 Jan 21, 2022 #66 Mbona unamringishia? We kama unawajua funguka hapa, Diwani said: Ndani ya jeshi kuna kitu kinaitwa MI [emoji16] (Military Intelligence) ukiwajua hawa, ndio uanze kubwabwaja humu, mana naona wengi tunatoa comments ambazo ni ubashiri tuu Click to expand...
Mbona unamringishia? We kama unawajua funguka hapa, Diwani said: Ndani ya jeshi kuna kitu kinaitwa MI [emoji16] (Military Intelligence) ukiwajua hawa, ndio uanze kubwabwaja humu, mana naona wengi tunatoa comments ambazo ni ubashiri tuu Click to expand...