DeepSeek hawakujipanga, wana kelele nyingi uwezo mdogo

DeepSeek hawakujipanga, wana kelele nyingi uwezo mdogo

Wamarekani lazima wapagawe sababu wanaambiwa hiyo deelpseek ni side project tu na imetengenezwa kwa gharama ndogo mno na kwa kutumia chips za zamani. Sasa kama mchina katengeneza AI ya kuweza kuimatch chatGPT kwa gharama ndogo na teknolojia ya zamani vipi akiweka mpunga wa maana na akapata latest chips? Hii vita nado mbichi...
 
Umejaa ujinga kichwani. Very stupid!
Mbona sioni sababu ya kumtusi huyoo mwamba.. amekuuliza swali zuri sana na la kimkakati..Yenu watu weusi mliotengeza hata kushindana na hiyo iko wapi? Mtu mweusi kazi yake kutumia tu vya watu..wenyewe hata kujenga choo tu hadi msubiri mjapani awape pesa za ujenzi kupitia JICA
 
Nimeitumia deepseek nafikiri mimi ni mmoja wa watumiaji wa mwanzoni. Ilikuwa vizuri na ipo fasta. Lakini baada ya kuanza kelele kila muda inashindwa kufanya kazi server zao ni ndogo mchina katepeta mapema sana.
Hawana kelele wao wameachia model tena open source unaweza kuidownload ukaitumia locally kwenye pc yako, ukaitune na kuifanyia madikodiko kwenye code kwa mapenzi yako.
Wao wametoa model na ratings na watu binafsi tena wa west wametumia benchmarks kuthibitisha hilo. Wao wamepiga kimya wanaopiga kelele ni wanaoitumia na vyombo vya west.
Hata hizo habari kuwa wanatumia gpu za zamani hawajasema wao kuna mwingine juzi anadai wanatumia nvdia h100 pieces 50,000 hivyo anadai hawatumii gpu za zamani, lakini wao hawajasema lolote.
Bidhaa yao inazungumza kwa sauti yenyewe.
Hivyo ukiona unalia lia ni umasikini wako, download kanunue gpus uirun locally au kwenye servers unazozigharamia mwenyewe.
 
Back
Top Bottom