DeepSeek hawakujipanga, wana kelele nyingi uwezo mdogo

Nimeitumia deepseek nafikiri mimi ni mmoja wa watumiaji wa mwanzoni. Ilikuwa vizuri na ipo fasta. Lakini baada ya kuanza kelele kila muda inashindwa kufanya kazi server zao ni ndogo mchina katepeta mapema sana.
Yes naaona server imezidiwa
 
Nimeitumia deepseek nafikiri mimi ni mmoja wa watumiaji wa mwanzoni. Ilikuwa vizuri na ipo fasta. Lakini baada ya kuanza kelele kila muda inashindwa kufanya kazi server zao ni ndogo mchina katepeta mapema sana.
Huna logic, na hufuatilii taarifa. Hili walilitolea taarifa, kutokana na idadi kubwa ya watu kuongozeka gafla lakini pia attacks hivyo huduma ikawa haipatikan muda mwingine nzito
Common sana mfumo ukiwa accesed na number kubwa ya watu at a time
 
Nimeitumia deepseek nafikiri mimi ni mmoja wa watumiaji wa mwanzoni. Ilikuwa vizuri na ipo fasta. Lakini baada ya kuanza kelele kila muda inashindwa kufanya kazi server zao ni ndogo mchina katepeta mapema sana.
Host mwenyewe, faida ya Deepseek ni ndogo, model zake waweza tumia kwenye GPU yoyote ya karibuni. Minimum 20GB ram, optimal 80GB ram+Vram nafasi inachukua angalau GB 130
 
Nafikiri wamepigwa tukio, yangu hata kufungua ni issue, Wall Street na Silicon Valley wana hasira sana na hii kitu😂😂, ile trillion waliyopoteza jana lazima irudi
Mbona inafanya kazi nyie mazuzu
 
Nimeitumia deepseek nafikiri mimi ni mmoja wa watumiaji wa mwanzoni. Ilikuwa vizuri na ipo fasta. Lakini baada ya kuanza kelele kila muda inashindwa kufanya kazi server zao ni ndogo mchina katepeta mapema sana.
Juzi walidukuliwa na Israel
 
Nafikiri wamepigwa tukio, yangu hata kufungua ni issue, Wall Street na Silicon Valley wana hasira sana na hii kitu😂😂, ile trillion waliyopoteza jana lazima irudi
Walidukuliwa na Waisrael majuzi hapa, na Israel ikawapa Taarifa , japo WACHINA waloitumia karibu saa nzima kulisolve .
 
Overtaken by Qwen 2.5 chat llm from ALIBABA !!!!
 
Kwamba programing ndio kitu kigumu zaidi
Programming ni ngumu, unapokuta AI inafanya programming ngumu ujue ipo vizuri..
Ni moja ya kipimo kwa nionavyo..
Mambo ya kawaida ya kuuliza hata Gemini na copilot zinafanya, sijui kutengeneza picha n.k...

Deepseek haipo kinyonge pia, lakini naona deepseek kuna data kweli wameiba kutoka openAI
 
Back
Top Bottom