DeepSeek hawakujipanga, wana kelele nyingi uwezo mdogo

DeepSeek hawakujipanga, wana kelele nyingi uwezo mdogo

Programming ni ngumu, unapokuta AI inafanya programming ngumu ujue ipo vizuri..
Ni moja ya kipimo kwa nionavyo..
Mambo ya kawaida ya kuuliza hata Gemini na copilot zinafanya, sijui kutengeneza picha n.k...

Deepseek haipo kinyonge pia, lakini naona deepseek kuna data kweli wameiba kutoka openAI
Mbona kama the way inarespond ni kama ChatGPT, na interface hadi tabia ya ChatGPT 😂 hapa mchina kaangalizia
 
server zao ni ndogo mchina katepeta mapema sana.
1739871556711.png

Hii imetoka jana, baada ya Grok 3 kutoka,

Licha ya changamoto ya server, ila bado DS inaendelea kufanya vyema.
 
Back
Top Bottom