Yes naaona server imezidiwaNimeitumia deepseek nafikiri mimi ni mmoja wa watumiaji wa mwanzoni. Ilikuwa vizuri na ipo fasta. Lakini baada ya kuanza kelele kila muda inashindwa kufanya kazi server zao ni ndogo mchina katepeta mapema sana.
Huna logic, na hufuatilii taarifa. Hili walilitolea taarifa, kutokana na idadi kubwa ya watu kuongozeka gafla lakini pia attacks hivyo huduma ikawa haipatikan muda mwingine nzitoNimeitumia deepseek nafikiri mimi ni mmoja wa watumiaji wa mwanzoni. Ilikuwa vizuri na ipo fasta. Lakini baada ya kuanza kelele kila muda inashindwa kufanya kazi server zao ni ndogo mchina katepeta mapema sana.
Host mwenyewe, faida ya Deepseek ni ndogo, model zake waweza tumia kwenye GPU yoyote ya karibuni. Minimum 20GB ram, optimal 80GB ram+Vram nafasi inachukua angalau GB 130Nimeitumia deepseek nafikiri mimi ni mmoja wa watumiaji wa mwanzoni. Ilikuwa vizuri na ipo fasta. Lakini baada ya kuanza kelele kila muda inashindwa kufanya kazi server zao ni ndogo mchina katepeta mapema sana.
Mbona inafanya kazi nyie mazuzuNafikiri wamepigwa tukio, yangu hata kufungua ni issue, Wall Street na Silicon Valley wana hasira sana na hii kitu😂😂, ile trillion waliyopoteza jana lazima irudi
Kwani chat gpt haikupew promoHii app inapewa sana promo
Chat gpt Ina mem ndogo labda kama hutumii kwenye vitu vitamuUpo makini, deepseek ina u slow flani mbele ya chatgpt.
Bado hujaielewa chatgpt vizuri, chatgpt ina kumbukumbu vibaya sana, nimejaribu zote kwa task ngumu zaidi za programming, naona chatgpt ni mwisho wa matatizo.Chat gpt Ina mem ndogo labda kama hutumii kwenye vitu vitamu
Kwamba programing ndio kitu kigumu zaidiBado hujaielewa chatgpt vizuri, chatgpt ina kumbukumbu vibaya sana, nimejaribu zote kwa task ngumu zaidi za programming, naona chatgpt ni mwisho wa matatizo.
Juzi walidukuliwa na IsraelNimeitumia deepseek nafikiri mimi ni mmoja wa watumiaji wa mwanzoni. Ilikuwa vizuri na ipo fasta. Lakini baada ya kuanza kelele kila muda inashindwa kufanya kazi server zao ni ndogo mchina katepeta mapema sana.
Walidukuliwa na Waisrael majuzi hapa, na Israel ikawapa Taarifa , japo WACHINA waloitumia karibu saa nzima kulisolve .Nafikiri wamepigwa tukio, yangu hata kufungua ni issue, Wall Street na Silicon Valley wana hasira sana na hii kitu😂😂, ile trillion waliyopoteza jana lazima irudi
Programming ni ngumu, unapokuta AI inafanya programming ngumu ujue ipo vizuri..Kwamba programing ndio kitu kigumu zaidi