Programming ni ngumu, unapokuta AI inafanya programming ngumu ujue ipo vizuri..
Ni moja ya kipimo kwa nionavyo..
Mambo ya kawaida ya kuuliza hata Gemini na copilot zinafanya, sijui kutengeneza picha n.k...
Deepseek haipo kinyonge pia, lakini naona deepseek kuna data kweli wameiba kutoka openAI