DeepSeek ni AI iliyokunywa maji ya bendera ya chama cha Kikomunisti China

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Hii AI ikiulizwa masuala ya siasa za China zenye utata inapatwa kigugumuzi cha ghafla.
20250201_063831.jpg
 
Mchina kwa kucopy na kupaste vitu vya watu. Yupo makini 100%.
Mchina anasubiri watu watengeneze, yeye a-copy. Hongera zake
 
Acha dharau kucopy bila akili ni ujinga wachina wako vzr Empire ya US inaenda down..

Pole sana mchina mweusi. Mchina kumpoteza US usahau wala haitatokea.
Kuna jirani yangu hapa alinunua iPhone. Kuja kuangalia ni copy ya mchina tena ni Mediatek na unaistall application zenye .apk. Kanunua sawa na bei ya iPhone OG ya IOS😁😁😁
Bila mzungu kutengeneza AI. Unafikiri wachina wangeteneneza hiyo Deepseek? Thubutu
Dunia ya Mungu, vitu vya mzungu
 
Wong Fei 你好吗?
 
Wew ni akili mgando unaamini kila kitu wazungu wame invent acha ujingaa yan unadhani wazungu ndo wenye akili tu 😁😁😁
 
Kwa kuwa wewe na mchina wako mna akili mgando. Unafikiri wote tupo hivyo. Mchina katengeneza nini hapa 👇
Angalia mambo ya wenye akili👇
  • Blackberry OS
  • Nokia Symbian
  • Nokia Windows phone
  • Android
  • iOS (iphone)
Weka ya Operating ya mchina uone inatumia nini?
  • Windows
  • Linux
  • Mac OS
Mchina katengeneza operating system inayotumia application za android😸😸😸😸😸😀😀😀😀😀
Nasikia mchina katoa copy za JBL😀😀😀😀
Mchina kwa kucopy na kupaste huwa hakopeshi mulele 100%
 
Wong Fei 您上次离开中国是什么时候?这是否意味着您已经忘记了一切?你不能认真 Wong Fei 自从您离开中国以来,您一直在写类似的东西。你已经成为白痴,你是祖国的叛徒
 
昆貝·巴多·烏納圖瓦扎·薩納
 
Back
Top Bottom