Defense budget ya Marekani ni kubwa sana

Defense budget ya Marekani ni kubwa sana

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
Marekani wamejizatiti Sana na waki serious.

Unachanganya nchi tano kubwa, bado jamaa wako juu.

Screenshot_20240614-200421.jpg
 
Kwa sababu wenzio hawapendi kuishi maisha ya kuiga-iga, hasa maigizo ambayo mwishowe ni kujiangamiza mwenyewe.

By printing and printing and printing again the currency, US has been shooting her own foot all along.
Kwahiyo Marekani inaprint hela hadi California inaendana kwa GDP na Russia?😂

Okay, South Korea inaizidi uchumi Russia kisa wanaprint sana hela?

Kwamba South Africa inaizidi Tanzania uchumi kwa kuprint sana Rand?
 
Kwa sababu wenzio hawapendi kuishi maisha ya kuiga-iga, hasa maigizo ambayo mwishowe ni kujiangamiza mwenyewe.

By printing and printing and printing again the currency, US has been shooting her own foot all along.
Elezea kwa kuprinti pesa US wanajiangamizaje wenyewe?
Mataifa mengine huwa yanaprinti pesa mara moja tu?
 
Kwahiyo Marekani inaprint hela hadi California inaendana kwa GDP na Russia?😂

Okay, South Korea inaizidi uchumi Russia kisa wanaprint sana hela?

Kwamba South Africa inaizidi Tanzania uchumi kwa kuprint saba Rand?
Uchumi unapimwa na kiasi unachouza na kununua kwa dola.Sasa kwa sie ambao chai yetu inabei zero mbele ya dola tutalingana vipi kiuchumi na wenye bei nzuri?ila kila leo twanywa Chai.
 
...thamani ya pesa inabebwa na uzalishaji mali.ila wao wanailinda kwa bunduki
Nitajie nchi ya kwanza inayoongoza kwa uzalishaji wa mafuta duniani,
Nitajie nchi ya kwanza inayoongoza kwa kuuza chakula kwa mataifa mengine duniani.
Nitajie nchi ya kwanza inayoongoza kwa biashara za IT na software
Nitajie nchi inayovuna pesa nyingi zaidi kwa bidhaa za utamaduni za filamu na muziki.
Nitajie nchi inayovuna pesa nyingi zaidi kwa bidhaa na huduma za elimu kama vyuo na vitabu
 
Hawawezi, sababu sifa kuu ya dollar inakubalika mno duniani Sasa nani anahitaji hizo ruble
Trade kati ya nchi na nchi ni nafuu kuliko kutumia dolar .....ikiwa utanijibu ni kwa nini ni nafuu kununua bidhaa Uganda kuliko kenya.basi siku ikiyajua ya ruble utayaacha ya dollar
 
View attachment 3018477

Marekani wamejizatiti Sana na waki serious.

Unachanganya nchi tano kubwa, bado jamaa wako juu.
Hi ni uwongo sita amini hata siku moja hakuna nchi inaweza kukupa ukweli wake hapo.

Afu US ni muongo akikuambia hivi ujuwe gawa mara tano budget ya hio taqwim.

Nchii hata Afghanstan imeshindwa kumshinda sa hio budget yote ni bure tu 😅
 
Nitajie nchi ya kwanza inayoongoza kwa uzalishaji wa mafuta duniani,
Nitajie nchi ya kwanza inayoongoza kwa kuuza chakula kwa mataifa mengine duniani.
Nitajie nchi ya kwanza inayoongoza kwa biashara za IT na software
Nitajie nchi inayovuna pesa nyingi zaidi kwa bidhaa za utamaduni za filamu na muziki.
Nitajie nchi inayovuna pesa nyingi zaidi kwa bidhaa na huduma za elimu kama vyuo na vitabu
NI vema kutofautisha trade volume na mwenye bidhaa.. je umesoma agenda za mkutano wa G7 Italy ... kulikuwa na haja gani ya kugombana na Huawei na 5G tech.
kwa nini bidhaa zimepanda bei baada ya vita ya Russia na West....mkulima kagoma na mahindi yake sio.
Yumkini regulatory board ya West ipo challenged vitani...brother Putin amewakaribisha.
 
Back
Top Bottom