Defense budget ya Marekani ni kubwa sana

Defense budget ya Marekani ni kubwa sana

Usichojua USA ndio ana kambi nyingi nje na ardhi military base) mfano kenya na anazo zaid ya 750 katika nchi zipatazo 80
So uendeshaji wake ni gharama saN while china ameganda kwake


Usijua pia usa zana. Nyingi, za kijeshi na za kisasa ananunua while kwa mchina nyingi anazalisha mwenyewe kwa kutumia wataalamu wake wa ndani


Kwa mazingira haya bajeti kuwa kubwa hakuepukiki kabjsa
 
Ile
Marekani wamejizatiti Sana na waki serious.

Unachanganya nchi tano kubwa, bado jamaa wako juu.

View attachment 3018477
Ile Nchi ni ya Kibepari jeshi linanunua huduma zote kwa makampuni binafsi tofauti na. Russia au China Jeshi ndio linamiliki viwanda vya silaha na huduma zote za Kijeshi hawanunui ndio maana bajeti zao zinakua chini.
 
Kuweka makambi ya jeshi kwenye nchi za wenzako lazima mfuko upasuke,,,,na pia jamaa silaha zao wananunua kutoka makampuni binafsi na ukiangalia bei ya silaha za viwanda vya marekani ni kubwa kuliko wanavyozalisha warusi na wachina hawa unakuta jeshi/serikali ndo inamiliki viwanda vya kuzalisha hizo silaha tofauti na marekani anaenunua silaha kwenye viwanda binafsi,,hapo lazima gharama ziwe kubwa
 
Ile Ile Nchi ni ya Kibepari jeshi linanunua huduma zote kwa makampuni binafsi tofauti na. Russia au China Jeshi ndio linamiliki viwanda vya silaha na huduma zote za Kijeshi hawanunui ndio maana bajeti zao zinakua chini.
Ni kampuni gani kubwa ya silaha ya Urusi inamilikiwa na jeshi. Haipo.

Kampuni gani kubwa ya silaha ya China inamilikiwa na jeshi. Haipo.

Na nani kakwambia Urusi au China hawanunui silaha na huduma za kijeshi? Tenders za silaha, ugavi, ukarabati, design na mengine wanatoa kwa enterprises. Hawachukui bure sio maji yale kwamba unachota tu. Wangekuwa wanachukua bure, wangepata bure kwa nani.
 
Kwahiyo Marekani inaprint hela hadi California inaendana kwa GDP na Russia?😂

Okay, South Korea inaizidi uchumi Russia kisa wanaprint sana hela?

Kwamba South Africa inaizidi Tanzania uchumi kwa kuprint sana Rand?
Tuletee takwimu zinazo onesha S.korea kuizidi Urusi kiuchumi au umekalili.
 
China builds
US bombs


20240616_142138.jpg
20240616_142145.jpg
20240616_142150.png
 
Kwa nini na Russia wasichapishe Rubu tu??
Kwa vile Russia wao wako smart na wanatambua nini hasa chenye thamani zaidi.

The real money is not the coins and the bank notes that people seem to adore. Pesa halisi ni rasilimali.

Nchi inayoishi kwa kutegemea tu kuchapisha makaratasi mwishowe uchumi wake unafifia na kuwa duni hivyo hivyo kama hayo makaratasi.
 
Back
Top Bottom