Defense budget ya Marekani ni kubwa sana

Defense budget ya Marekani ni kubwa sana

Umeona sasa? Marekani yeye anatumia maguvu ili kulazimisha bidhaa zake zinunulike duniani.

Yeyote anayeonekana mpinzani, anapambana naye ili kumwondoa. Ndiyo maana hawapatani kabisa na China, kwa mfano.

Hakuna soko huria kama wanavyotuaminisha. Kuna kuhodhi soko kwa nguvu.

Kila nchi inayojaribu kuinuka kiuchumi hugeuka kuwa adui wa Marekani, isipokuwa ikiridhia kufuata sera za kuongozwa na Amerika.

Angalia nchi zote zenye utajiri wa mafuta, gesi na madini na rasilimali zingine, namna zilivyovurugwa na Marekani. Hiyo ni data halisi, ambayo ni sera ya Marekani hadi kesho kutwa.

Si ajabu vita vya Ukreni ni jitihada za Marekani kumdhoofisha Russia kiuchumi ili asinufaike na soko kubwa la Ulaya.

Nchi inayoanzisha vita ili kunufaika na mauzo hazina ya silaha zake, au hata kusambaza kimakusudi magonjwa ya mlipuko, taifa kama hilo limefilisika kisiasa, kiuchumi na kimaadili, na ni adui namba moja as dunia.
Tutajie bidhaa za Russia zilizofukuzwa kwenye soko la dunia na Marekani.

Taja mfano ni kampuni ipi ya simu kutoka Urusi ilikuwa inauza ika Marekani ikakataza kusudi wabaki Wamarekani tu.
Au ni kampuni ipi ya kuunda ndege ya Urusi ilipigwa marufuku na Wamarekani isiuze duniani wabaki Boeing.

Vita ya Ukraine kaanzisha Urusi ili Marekani iidhoofishe Urusi? Hii inaingia akilini?

Yaani Urusi kavamia Crimea 2014, katoka kavamia Ukraine nzima kwa fronts mbili 2022. Then unasema ni njama za Marekani kuidhoofisha Urusi.
Ina maana Urusi ni wapumbavu kiasi kwamba wanatumia jeshi lao kutimiza matakwa ya Marekani. Ndio hiyo nchi mnaishindanisha na Marekani wakati inaichezesha kanyaboya?
 
Hivi unajua nani alianza kwenda mwezini
Na nani wa kwanza kukanyaga mwezini (binadamu).

USSR ndio ya kwanza kutuma chombo kwenye space (sio mwezini). Jambo la kutuma chombo mwezini Russia hawajui. Wanafeli wamezidiwa hata na India iliyofanikiwa first time mwaka jana.
 
Unataka tuanze hapa kujadili tena sababu ya vita vya Ukreni? Bado unang'ang'ana kwamba Urusi ndiye chanzo?

Kuhusu Marekani kuhodhi soko la dunia kwa nguvu, hilo liko wazi. Si tu kwamba Urusi, bali taifa lolote linalojaribu kuleta upinzani kwa Marekani kiuchumi anageuka kuwa adui mkubwa.

Niambie kwa nini Bush alienda kuivamia Iraki? Je ni kweli zilikuwepo silaha za maangamizi kule?

Vipi kuhusu Venezuela? Kwa nini Marekani hakati kupeleka pua yake pale?

Hilo huoni???

Marekani ina tatizo la superiority complex, na inaiona kila nchi duniani kama koloni lake halali.

Lakini sasa kwa hiki anachomfanyia Mrusi na washirika wake, ni wazi muda wake wa kujidai unahesabika.
 
Na nani wa kwanza kukanyaga mwezini (binadamu).

USSR ndio ya kwanza kutuma chombo kwenye space (sio mwezini). Jambo la kutuma chombo mwezini Russia hawajui. Wanafeli wamezidiwa hata na India iliyofanikiwa first time mwaka jana.
Hakuna mwanadamu aliyewahi kukanyaga mwezini. Hizo ni stori tu ambazo hata Wamarekani wenyewe hawaziamini.
 
Vita ya Ukraine kaanzisha Urusi ili Marekani iidhoofishe Urusi? Hii inaingia akilini?

Yaani Urusi kavamia Crimea 2014, katoka kavamia Ukraine nzima kwa fronts mbili 2022.
Msikilize Putin mwenyewe:

^In the West, the prevailing narrative is that Russia initiated the war with its special military operation and is therefore the aggressor, so it is allowed to attack the Russian territory using Western weaponry.

It is argued that Ukraine is merely defending itself, and is justified in doing so.

I want to reiterate: Russia did not start the war.

It was the Kiev regime that initiated hostilities, following the declaration of independence by residents of certain parts of Ukraine in accordance with international law, and continues to do so.

If we do not recognise the right of these peoples to declare their independence, then this is indeed aggression.

Those who have supported the Kiev regime’s war machine over the years are, therefore, accomplices to this aggression.

Back in 2014, the residents of Donbass refused to surrender.

Militia units stood their ground, repelled the punitive forces, and eventually pushed them back from Donetsk and Lugansk.

We hoped this would bring those who initiated the violence to their senses.

To halt the bloodshed, Russia made its customary appeals for negotiations.

Talks began, involving Kiev and representatives of the Donbass republics, with the support of Russia, Germany, and France.

The talks were not easy, but ultimately led to the conclusion of the Minsk Agreements in 2015.

We took their implementation very seriously, hoping to resolve the situation within the framework of the peace process and international law.

There was hope that this would lead to the recognition of the legitimate interests and demands of Donbass, including enshrining the special status of these regions and ensuring the fundamental rights of the people living there, all while maintaining Ukraine’s territorial integrity.

We were prepared for this and sought to persuade the residents of these territories to resolve issues through such means.

We proposed various compromises and solutions multiple times.

However, Kiev ultimately rejected everything and simply discarded the Minsk Agreements.

As representatives of the Ukrainian elite later confessed, none of the articles in these documents satisfied them; they simply lied and evaded as much as possible.

The former Chancellor of Germany and the former President of France, who were essentially co-authors and purported guarantors of the Minsk Agreements, later openly admitted that the implementation was never their intention.

Instead, they claimed it was a tactic to stall while they bolstered Ukrainian armed groups, supplied weapons and equipment.

It was another instance of them playing a trick on us and deceiving us once again.

Instead of fostering a genuine peace process and pursuing policies of reintegration and national reconciliation, as Kiev often claimed, Donbass endured eight years of relentless shelling, terrorist attacks, murders, and severe blockade.

Throughout these years, the residents of Donbass – women, children, and the elderly – were dehumanised, labelled as 'second-class' or 'subhuman,' and threatened with retaliation, with promises of settling scores with everyone.

What else can this be if not genocide in the heart of Europe in the 21st century?

Meanwhile, in Europe and the US they pretended that nothing was happening and nobody was noticing anything.^
 
South Korea wanaunda meli kubwa kabisa za kisasa. Wana vifaa vya ujenzi. Home appliances nyingi. Vifaa vya mawasiliano. Vifaa vya matibabu hospitalini.

Urusi hasahasa ana maliasili ambazo hajaunda bali kazikuta. Ni kama Congo, Saudi Arabia au Qatar.

Satellite hata North Korea na Iran wamejaribu, na hawana cameras kwenye soko la dunia. Hata India.

Kumiliki market share kwenye soko la digital cameras kama Canon, Sony, Nikon, Fujifilm ni vigumu kuliko kurusha satellite angani.

Alafu Marekani akiongoza kiuchumi mnasema anaprint dola[emoji23]

Bidhaa zinaonekana kwenye market share ya industry kwenye soko la dunia. Hizo bidhaa za Urusi ziko wapi mbona kama gesi na mafuta mnataja, kwamba mfano Lada inashindana na soko la Toyota, Ford, RR ama Hyundai?
Hao wapo kishabiki mkuu kuliko uhalisia na simulizi za vijiweni,komaa hapo hapo bidhaa za Russia ziko wapi ?magari yao Lada niva na kamaz utayakuta kwenye nchi za hovyo kama north korea,cuba,belarus....yatawezaje kushindana na hyundai,toyota,ford...kuna sehemu niliona kumbe hata kamaz zile za rally dakar injini ni mercedes!
 
Umeona sasa? Marekani yeye anatumia maguvu ili kulazimisha bidhaa zake zinunulike duniani.

Yeyote anayeonekana mpinzani, anapambana naye ili kumwondoa. Ndiyo maana hawapatani kabisa na China, kwa mfano.

Hakuna soko huria kama wanavyotuaminisha. Kuna kuhodhi soko kwa nguvu.

Kila nchi inayojaribu kuinuka kiuchumi hugeuka kuwa adui wa Marekani, isipokuwa ikiridhia kufuata sera za kuongozwa na Amerika.

Angalia nchi zote zenye utajiri wa mafuta, gesi na madini na rasilimali zingine, namna zilivyovurugwa na Marekani. Hiyo ni data halisi, ambayo ni sera ya Marekani hadi kesho kutwa.

Si ajabu vita vya Ukreni ni jitihada za Marekani kumdhoofisha Russia kiuchumi ili asinufaike na soko kubwa la Ulaya.

Nchi inayoanzisha vita ili kunufaika na mauzo hazina ya silaha zake, au hata kusambaza kimakusudi magonjwa ya mlipuko, taifa kama hilo limefilisika kisiasa, kiuchumi na kimaadili, na ni adui namba moja as dunia.

Ndiyo maana mbadala pekee unaokubalika kwa sasa katika kudumisha amani duniani ni sera za umoja wa BRICS.

Ni wazi katika karne hii ya 21, Marekani angali akiishi kwa kutegemea mbinu ya zama za giza, ambao utawala wenye nguvu uliangamiza mashamba au maghala ya hifadhi za tawala zingine ili zijisalimishe na kutawaliwa.

Unajua kwa nini nchi kama Venezuela inaishi katika umaskini wa kutupwa, licha ya utajiri mkubwa sana wa mafuta? Sababu ni Marekani.
Ni sera zake za hovyo na marafiki wa hovyo wanamponza.Itoke huko kwenye ant-democratic governance,corruption,mismanagement of the economy na upuuzi mwingine.
 
G8 haimaanishi direct kwamba ni nchi nane kubwa kwa GDP wakati huo, huwa zinakaa sana kubadilika.

Kwa mwaka huu Brazil inaizidi Russia kwa GDP. India ni ya 5 kwa GDP ila haipo G8. Wakati wa mdororo wa uchumi kwenye 2010s Spain, Ugiriki na Italy zilikuwa hatarini zikakopeshwa na EU hasa kina UK na Ujerumani na zikaishi kwa tabu lakini wakati huohuo bado Italy ilikuwa kwenye G8.

Kwanza Russia haikuwa na vigezo vya kuwa G8, iliitwa tu. Tena kipindi kile ina njaa inauza hata siri za silaha kwa bei ya hasara kwa Wachina. Hivyo hata kufukuzwa ilitolewa sehemu ambapo haistahili kuwepo.
Umeleta blah blah.
 
Kuweka makambi ya jeshi kwenye nchi za wenzako lazima mfuko upasuke,,,,na pia jamaa silaha zao wananunua kutoka makampuni binafsi na ukiangalia bei ya silaha za viwanda vya marekani ni kubwa kuliko wanavyozalisha warusi na wachina hawa unakuta jeshi/serikali ndo inamiliki viwanda vya kuzalisha hizo silaha tofauti na marekani anaenunua silaha kwenye viwanda binafsi,,hapo lazima gharama ziwe kubwa
Pia wanashreria za kuwalinda wafnayakazi ..hasa kwenye ujira ni lazima hizo gharam serikali iZibeba na ndo maana product inakuwa juu ..unakuta mfanyakaz wa kawaidai akifsnya kazi Lisaa moja la ziada unamlipa 22usd dollar wwkati nchi nyingine ni makubaliano tu
 
Kombora moja ndani ya jeshi la Marekani linagharimu bilioni moja wakati la kiwango kile kile kwa wenzao ni milioni mia moja au chini. Lazima wawe na bajeti ya kutisha.
Na hiki ndo kinachowaumiza raia wengi ww marekani na makampuni mengi kushindwa kuwekeza huko
 
Kwa nini na Russia wasichapishe Rubu tu??
Russia ni watu wazima na wanajua kutafuta hela ki utu uzima ndo maana wameanzisha Dedolarization ili hayo makaratasi wanayochapisha wavutie bange
 
Nyambizi ya Urusi iliyofika kule Havana Cuba gharama yake ni US$ 2.5 bilioni ingekuwa imetengenezwa na US kwa viwango vilevile na kwa uwezo uleule (ingawa kwa sasa US hawana huo ubavu) wangesema gharama yake ni trilioni Bilioni elfu saba US dollar, na kama kuna jambo limemuudhi US tangu kuumbwa kwao ni huu mpango kabambe wa DEDOLLARIZATION maanq anajua hiyo mikaratsi itaishia kutumiwa na akina SNOOP mbwambwa kuvutia gozo
 
Nyambizi aweze tengeneza urusi afu marekani ashindwe wafuasi wa mudi nani kawaloga
 
Usistushwe na hiyo bageti kubwa.US ni capitalist kuliko unavyofikiria.Kila kitu hapo ni faida..wana contractors katika kila kitu ambao wanawapiga sana.Kununua silaha, kulisha wanajeshi, logistics, n.k..Bei kubwa sana...
Tofauti na nchi kama China na Russia...kuna mkono wa serikali sana...bei zinakuwa chini sana..

Ni sawasawa na leo Tz Tanesco iwe pure private hakuna mkono wa serikali..walenge 100% kwenye faida - hio gharama ya umeme wachache wataweza ku- afford.

Thus ni kweli budget ya US ni kubwa sana lkn pia inakuzwa sana sababu ya contracting..money making, profit
 
Back
Top Bottom