Defense budget ya Marekani ni kubwa sana

Sidhani kama ni ngumu kwao kupata hizo fedha, hasa kwa mbinu yao tukutu ya kuchapisha ile mikaratasi yao kwa wingi.
Kwa nini na wengine wasichapishe hiyo mikaratasi?
Mi nadhani hata bongo tuna mikaratasi yetu tunaweza kuchapisha tuu.
 
Venezuela na Iraq ziliwahi kuwa hata top 20 ya nchi tajiri duniani?

Na Urusi kuvamia Ukraine na Georgia ni wivu wa kiuchumi?
Hapo saudia anafanya nini naona anajihami zaidi maana ameshaahisi mambo yanaweza kuwa mabaya
Saudia Arabia tangu avamiwe na Saddam Hussein akakimbilia kuiita Marekani ije imsaidie. Tangu hapo akaapa kukuza jeshi lake ili asitokee kichaa yeyote akajisikia kumvamia.

Zamani Saudi Arabia alikuwa na jeshi la kawaida sana baadae wakajishtukia hawako salama.
 
Kura za kubumba za Donbass zilianza tiyari Urusi iliishavamia.

Alafu unamsikiliza Putin aliyeua wapinzani. Aliyevamia ndio unamsikiliza. Umecopy porojo nyingi ila point ya msingi hujui, ndio maana USSR lilivunjika. Linchi kubwa jinga ilikuwa hata haki za founding states hamna, baadae Marekani inapeta mnadai inaprint dola.

Print na nyinyi si makaratasi na materials mnayo. Print makontena ya ruble tuone uchumi wenu unapaa
 
Saudia wamesema hawaendelezi tena mkataba wa PDS, unalizungumziaje hili?
 
Stupid! Jifunzen uchumi wa dunia unavyokwenda muwe mna comment, kuliko kutia aibu.
 
Na hiki ndo kinachowaumiza raia wengi ww marekani na makampuni mengi kushindwa kuwekeza huko
Basi hapo raia wa Urusi wamewekeza kwao hadi nchi yao ni ha kwanza kiuchumi duniani. Mrusi wa kwanza kwa utajiri anaishi na kaupatia utajiri Marekani, hao wengine wanabangaiza kwa kuuza gesi, madini na mafuta ila hawamfikii hata nusu. Angeishi Urusi uko mifumo ya kiserikali isingemruhusu.

Mabilionea kadhaa wa Urusi wamejazana Uingereza, Israel na nchi nyingine hawataki kunuka shida na kunyanyasika na gubu la nchi yao.
Nchi hata inazidiwa na Brazil kwa GDP nyinyi mmekomaa kuilinganisha na Marekani.
 
anaitwa nani na utajiri wake ni kiasi gani?

Kumuwekea vikwazo Russia ni kumuogopa kama ana uchumi mdogo sasa vikwazo vya nini?, Russia ndo nchi yenye uchumi mkubwa Ulaya interms of PPP.

Licha ya vikwazo zaidi ya 17,000 bado West wanashindwa kumuangusha Russia, hapa ndo naamini Russia sio kama tunavyoambiwa hawa jamaa wako vizuri sana.
 
Huo uchumi wa kuchapisha hela utakua ulisomea chuo cha madrasa
Huwezi ilewa wewe soma hapa chini trump anachosema mna elimu za HKL mnakuja kusumbua hapa jukwaani




Trump: Marekani haitawahi kushindwa kulipa deni ‘kwa sababu mnachapisha fedha’
Donald Trump alisema Jumatatu kwamba Marekani haitawahi kushindwa kulipa deni "kwa sababu mnachapisha fedha," wakati akijaribu kufafanua mkakati wake wa kudhibiti deni la kitaifa.
Trump alisisitiza kwamba hakuwahi kusema Marekani inapaswa kushindwa kulipa deni au kujaribu kujadiliana tena na wadai, kama ilivyoripotiwa. "Watu walisema nataka kununua deni na kushindwa kulipa deni, na namaanisha, hawa watu ni wazimu. Hii ni serikali ya Marekani," Trump aliiambia Chris Cuomo wa CNN kwenye kipindi cha “New Day.” “Kwanza kabisa, hutawahi kushindwa kulipa kwa sababu mnachapisha fedha, sipendi kuwaambia, sawa?”
Mgombea urais wa Republican alielezea kuwa angejikita katika kununua deni tena ikiwa na wakati viwango vya riba vikipanda.
“Nilisema kama tunaweza kununua deni la serikali kwa punguzo, kwa maneno mengine, kama viwango vya riba vikiongezeka na tunaweza kununua bondi kwa punguzo – kama tuna ukwasi wa kutosha kama nchi, tunapaswa kufanya hivyo,” Trump alisema. “Kwa maneno mengine, tunaweza kununua deni tena kwa punguzo.”
Alirudia pia madai yake kwamba yeye ni "mfalme wa deni."
“Ninaelewa deni vizuri kuliko labda mtu yeyote. Najua jinsi ya kushughulika na deni vizuri sana. Napenda deni – lakini unajua, deni ni hatari na ni hatari, na lazima uwe mwangalifu na lazima ujue unachofanya,” Trump alisema.
 
Huo uchumi wa kuchapisha hela utakua ulisomea chuo cha madrasa

Soma hiyo​

The Dark Side of Money Printing:​

Introduction:​

The United States has been regarded as a world leader in the global economy. However, recent reports suggest that the country's monetary policy has been causing damage to the world economy. The US Federal Reserve has been printing money for decades, resulting in the inflation of the US dollar. While this may benefit the US economy, the rest of the world bears the brunt of this policy. In this essay, we will discuss how the US's money-printing strategy is killing the world economy.

Problem Statement:​

The US Federal Reserve's money printing policy has led to the devaluation of the US dollar. As a result, other countries have been forced to bear the consequences of this policy. The devaluation of the US dollar has led to a rise in inflation and has made imports from other countries more expensive. Developing countries, in particular, have been hit hard by this policy. Many developing countries rely on exports for their economic growth. However, the devaluation of the US dollar has made their products more expensive, leading to a decline in demand for their exports.

Solution:​

The US Federal Reserve needs to adopt a more sustainable monetary policy that does not rely on money printing. The government needs to focus on reducing its budget deficit, which is one of the main reasons for the country's money-printing policy. Additionally, the US needs to work with other countries to find a solution to the problem of currency devaluation. One possible solution could be the adoption of a global currency, which would eliminate the need for countries to rely on their currencies.
 
Kuwa na budget kubwa au ndogo kwenye jeshi inategemea na program za kijeshi, ukubwa wa Jeshi, na hali ya usalama(wako vitani au la).

Hivyo majeshi makubwa sio lazima budget kubwa. Marekani ana Kambi zaidi ya 753 sehemu mbalimbali duniani wakati hayo ya nchi zingine hawana Kambi zaidi ya 30 nje ya nchi zao.

Lakini pia kuingilia nchi zingine na kuangushwa (colour revolution) nchi zingine kunahitaji fedha n.k
 
Kwa sababu wenzio hawapendi kuishi maisha ya kuiga-iga, hasa maigizo ambayo mwishowe ni kujiangamiza mwenyewe.

By printing and printing and printing again the currency, US has been shooting her own foot all along.
Wewe ubongo wako umejaa manii,kamasi na kinyesi cha mbwa kibichi, unadhani Ku print Pesa ndo kuwa na uchumi mkubwa?
Mobutu ali print Pesa nyingi mno matokeo yake uchumi ukafa, lijinga sana wewe boya,
 
Kwa sababu wenzio hawapendi kuishi maisha ya kuiga-iga, hasa maigizo ambayo mwishowe ni kujiangamiza mwenyewe.

By printing and printing and printing again the currency, US has been shooting her own foot all along.
Wewe ubongo wako umejaa manii,kamasi na kinyesi cha mbwa kibichi, unadhani Ku print Pesa ndo kuwa na uchumi mkubwa?
Mobutu ali print Pesa nyingi mno matokeo yake uchumi ukafa, lijinga sana wewe boya,
 
unadhani Ku print Pesa ndo kuwa na uchumi mkubwa?
I hope you can read, Mr. The Whistleblower.

Hakuna haja ya kufurusha matusi, iwapo unaamini kwamba hoja yako inajitosheleza. You ought to be better than that.
 
Sasa mbona hiyo S.korea haiwezi kutengeneza ndege na Helicopter ,Nyambizi ,bunduki kama anavyo fanya Urusi?
Kila nchi ikitengeneza kamera na simu nani atanunua za mwenzake?
Kila nchi inawekeza kwenye kitu ambacho inaona kina faida kwake na sio ilimradi tu.
Dunia ina watu zaidi ya bilion 8 hivyo ww kutotumia bidhaa za Urusi haimaanishi kuwa hazipo.
Urusi ndo muuzaji makubwa wa bidhaa za viwandani kwenye nchi za Asia ya kati baada ya China.
Acha kukalili.
 
Sasa mbona hiyo S.korea haiwezi kutengeneza ndege na Helicopter ,Nyambizi ,bunduki kama anavyo fanya Urusi?
Kai Lah Helicopters
KSS-III Submarines
K2 assault rifle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…