Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Mradi huu ni wa serikali kwa kupitia Taasisi zake.
Aliyeufisadi hajulikani.
Na mwenye mradi hajulikani, lakini fedha zilizotumika ni za Watanzania.
Sikumbuki kama kuna mtu yeyote aliyechukuliwa hatua kwa kufeli mradi huu.
Bunge lipo na Spika wake, na mwenye mradi serikalini yupo.
Pia, kuna hii story Malipo ya Kampuni zinazodai kwenye Mradi wa Dege Eco Village yalivyopigwa juu kwa juu - Imevuja! - 1