Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Wapiga dili wanashinda Ikulu kuchonga dili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumsuta kuna saidia nini? anatakiwa akamatwe kwa uhujumu uchumiKama Jakaynhusika, asemwe tu, maana hata yeye huko aliko dhamira lazima itamsuta.
CCM imejaa wapiga dili wa pesa za ummaHatuichukii CCM, lakini kutfuartilia mambo kama haya ni udhaifu mkubwa sana.
Wewe jamaa hivi unawezaje kutuhumu tu bila ushahidi,wataje ukiwa na vielelezo hao ccm wenye huo mradiHiyo ndio ccm unayoiabudu na kuipigania kuliko unavyojipigania wewe binafsi , humo yumo mfadhili wako Tulia Ackson , halafu unakuja huku unatupigia kelele !
Endelea kumuabudu Shetani , si wamekuahidi njia 4 kwenu !
Kuna haja mtu afungiwe jiwe shingoni na awajibishwe kwa hilo dudu la Dege Village.
Mradi huu ni wa serikali kwa kupitia Taasisi zake.
Aliyeufisadi hajulikani.
Na mwenye mradi hajulikani, lakini fedha zilizotumika ni za Watanzania.
Sikumbuki kama kuna mtu yeyote aliyechukuliwa hatua kwa kufeli mradi huu.
Bunge lipo na Spika wake, na mwenye mradi serikalini yupo.
Brother Jidula, huu mradi haukufisadiwa, bali ni matokeo ya kukomoana pamoja na mabadiliko ya investments kwenye real estate.
Mradi huu ni wa serikali kwa kupitia Taasisi zake.
Aliyeufisadi hajulikani.
Na mwenye mradi hajulikani, lakini fedha zilizotumika ni za Watanzania.
Sikumbuki kama kuna mtu yeyote aliyechukuliwa hatua kwa kufeli mradi huu.
Bunge lipo na Spika wake, na mwenye mradi serikalini yupo.
📌📌Brother Jidula, huu mradi haukufisadiwa, bali ni matokeo ya kukomoana pamoja na mabadiliko ya investments kwenye real estate.
Angalia kawe na Morroco nayo yameachwa kama yalivyo.
Busara itumika projects ziishe na kupangishwa wananchi kwa kodi nafuu na kupelekea kuboresha suala la makazi bora.
Yakibaki kama yalivyo ni hasara kubwa sana pia yana reflect uwezo wetu wa kusolve issues tunazokutana nazo kama inchi.
Pesa za Bima ya Afya na NSSF
Mradi huu ni wa serikali kwa kupitia Taasisi zake.
Aliyeufisadi hajulikani.
Na mwenye mradi hajulikani, lakini fedha zilizotumika ni za Watanzania.
Sikumbuki kama kuna mtu yeyote aliyechukuliwa hatua kwa kufeli mradi huu.
Bunge lipo na Spika wake, na mwenye mradi serikalini yupo.
Kwani aliyevuruga mradi humjui?
Mradi huu ni wa serikali kwa kupitia Taasisi zake.
Aliyeufisadi hajulikani.
Na mwenye mradi hajulikani, lakini fedha zilizotumika ni za Watanzania.
Sikumbuki kama kuna mtu yeyote aliyechukuliwa hatua kwa kufeli mradi huu.
Bunge lipo na Spika wake, na mwenye mradi serikalini yupo.
Mkuu umenena sawasawa kabisa.Brother Jidula, huu mradi haukufisadiwa, bali ni matokeo ya kukomoana pamoja na mabadiliko ya investments kwenye real estate.
Angalia kawe na Morroco nayo yameachwa kama yalivyo.
Busara itumika projects ziishe na kupangishwa wananchi kwa kodi nafuu na kupelekea kuboresha suala la makazi bora.
Yakibaki kama yalivyo ni hasara kubwa sana pia yana reflect uwezo wetu wa kusolve issues tunazokutana nazo kama inchi.
mnunuzi alifichwa.Asante kwa taarifa mkuu.
Mradi umeizwa kwa nani?
Na hatua za uuendeleza ziko vipi.
Unaweza sema wewe halikuhusu , lakini mradi una occupy space and time ya wananchi!
Na nini matarajio?
Kielelezo cha miradi ya serikali , miradi isiyo endelevu.Nlipita hapo maghofu bado yapo
Ile sahv inabdi paitwe GHOST TOWN
ova
Huu mradi umeshauzwa kwa kaburu mmoja kwa Dollar Million 540. Makabidhiano tu yanasubiriwa.
Mradi huu ni wa serikali kwa kupitia Taasisi zake.
Aliyeufisadi hajulikani.
Na mwenye mradi hajulikani, lakini fedha zilizotumika ni za Watanzania.
Sikumbuki kama kuna mtu yeyote aliyechukuliwa hatua kwa kufeli mradi huu.
Bunge lipo na Spika wake, na mwenye mradi serikalini yupo.
Upuuzi mnalishana vijiweni.Nasikia mwendazake alijaribu kuuchunguza kila akiingiza pua anamuona mzee wa kutabsamu yupo nyuma yake, Basi mwendazake akaamua kuuacha kutia pesa na kudeal na issue zake ili kumkomoa mzee wa kufurahi na sio hayo majengo pekee hata yale ya moroco aligoma kutoa pesa , mbaya zaidi akahamisha makao kupeleka dom na matokeo yake miradi mingi imegeuka kuwa ni magofu au majengo mengine yamekosa wapangaji.
Ni kweli mkuu. Inner circle ya Mama inatakiwa ije na constructive ideas ya kukwamua hizo project badala ya lawama tu.Mkuu umenena sawasawa kabisa.
Sasa tupate mikakati ya serikali hii ya Awamu ya Sita kurekebisha haya madudu!
Kodi zetu hizo tujue!
Hii nayo haijakaa vizuri kabisa. Mama kajitahidi kukwepa mtengo though bado kuna kazi kubwa ya kufanya.Kielelezo cha miradi ya serikali , miradi isiyo endelevu.
Miradi ya kutegemea nani yuko madarakani.
Samia amekwamua miradi yote ,hapo Morocco kazi zinaendelea.Brother Jidula, huu mradi haukufisadiwa, bali ni matokeo ya kukomoana pamoja na mabadiliko ya investments kwenye real estate.