Chief Sanze
JF-Expert Member
- Jun 13, 2014
- 1,668
- 3,736
Usiwasahau na wale wanaotumia fedha ya serikali kununua maua na kuweka kwenye maofisi ya umma kunogesha sherehe za Christmas wakati serikali haina dini.zamani maisha yalikuwa ya ajabu sana, mtu anaajiriwa kwenye ofisi ya umma, halafu anaweka hadi chumba cha msikiti ndani awe anaswali, na hajaweka chumba cha kanisa au cha wahindu au cha wengine.