Dege Village, Kigamboni, waliokula na kuufisadi mradi huu hawajulikani, mradi umebaki magofu!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Nasikia mwendazake alijaribu kuuchunguza kila akiingiza pua anamuona mzee wa kutabsamu yupo nyuma yake, Basi mwendazake akaamua kuuacha kutia pesa na kudeal na issue zake ili kumkomoa mzee wa kufurahi na sio hayo majengo pekee hata yale ya moroco aligoma kutoa pesa , mbaya zaidi akahamisha makao kupeleka dom na matokeo yake miradi mingi imegeuka kuwa ni magofu au majengo mengine yamekosa wapangaji.
 
Alikuwa na visasi

Acheni Mungu aitwe Mungu.
 
Kwani chama gani kipo madarakani? Nani anaongoza serikali? Hebu tuache kuzunguka sana mbuyu ndio mana tunashindwa kutatua matatizo yetu kwakujifanya hatujui chanzo
 
Duhh..watu hawatosheki na hata vile vikubwa vya halali wanavyopata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…