Dege Village, Kigamboni, waliokula na kuufisadi mradi huu hawajulikani, mradi umebaki magofu!

Hiyo ndio ccm unayoiabudu na kuipigania kuliko unavyojipigania wewe binafsi , humo yumo mfadhili wako Tulia Ackson , halafu unakuja huku unatupigia kelele !

Endelea kumuabudu Shetani , si wamekuahidi njia 4 kwenu !
Wewe jamaa hivi unawezaje kutuhumu tu bila ushahidi,wataje ukiwa na vielelezo hao ccm wenye huo mradi
 
Kuna haja mtu afungiwe jiwe shingoni na awajibishwe kwa hilo dudu la Dege Village.
 
Brother Jidula, huu mradi haukufisadiwa, bali ni matokeo ya kukomoana pamoja na mabadiliko ya investments kwenye real estate.
Angalia kawe na Morroco nayo yameachwa kama yalivyo.
Busara itumika projects ziishe na kupangishwa wananchi kwa kodi nafuu na kupelekea kuboresha suala la makazi bora.
Yakibaki kama yalivyo ni hasara kubwa sana pia yana reflect uwezo wetu wa kusolve issues tunazokutana nazo kama inchi.
 
📌📌
Nakaza hapa
 
Kwani aliyevuruga mradi humjui?

Kwa Sasa mradi umeuzwa na wawekezaji Wanajua hatima Yao ila nssf ilishavuta chake.

Mwisho,mnapochagua Rais msiwe mnaokoteza watu from no where.
 
Mkuu umenena sawasawa kabisa.
Sasa tupate mikakati ya serikali hii ya Awamu ya Sita kurekebisha haya madudu!
Kodi zetu hizo tujue!
 
Aliyeufisadi Sasa kwa Sasa anakula maisha awamu ya sita .awamu ya mama amewakumbatia sana mafisadi na wanaendelea kuitafuna nchi
 
Huu mradi umeshauzwa kwa kaburu mmoja kwa Dollar Million 540. Makabidhiano tu yanasubiriwa.
 
Upuuzi mnalishana vijiweni.
 
Mkuu umenena sawasawa kabisa.
Sasa tupate mikakati ya serikali hii ya Awamu ya Sita kurekebisha haya madudu!
Kodi zetu hizo tujue!
Ni kweli mkuu. Inner circle ya Mama inatakiwa ije na constructive ideas ya kukwamua hizo project badala ya lawama tu.
Bado kuna uhaba mkubwa wa makazi bora, projects kama hizo za Dege and the like zinatakiwa kuwa nyingi ili kujenga jamii yenye ustawi bora zaidi na kuchochea kukua kwa uchumi.
 
Samia amekwamua miradi yote ,hapo Morocco kazi zinaendelea.

Usifananishe Samia na waharibifu kina Jiwe 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/C4vNC-iijcW/?igsh=N25pemxtYTE4OGR4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…