Chief Sanze
JF-Expert Member
- Jun 13, 2014
- 1,668
- 3,736
Usiwasahau na wale wanaotumia fedha ya serikali kununua maua na kuweka kwenye maofisi ya umma kunogesha sherehe za Christmas wakati serikali haina dini.zamani maisha yalikuwa ya ajabu sana, mtu anaajiriwa kwenye ofisi ya umma, halafu anaweka hadi chumba cha msikiti ndani awe anaswali, na hajaweka chumba cha kanisa au cha wahindu au cha wengine.
Hiyo siyo ishu ya sifa,jamaa kasema wazi kwamba mwendazake alijua anaweka pesa kwenye mradi ambao mtu binafsi ndyo mnufaika mkuu,kama ni kweli alikuwa sawa kuutelekezaAngemalizia sifa zisingekuwa zake aliona aanzishe yake ili asifiwe ..sasa Samia angekuwa kama yeye sijui ingekuwaje??
Mama kwenye hili la kuendeleza miradi amefanikiwa kwa sanaMama yupo Kwa Ajili ya Yale yaliyoshindikana
Si unajua sehemu kubwa ya jamii yetu inapenda uongo!Huu Mradi tuliambiwa ni wa George Bush.
Nilisikia mradi umepatwa mnunuzi...nalisikia pia ndio mradi pekee Tanzania tofauli moja lilinunuliwa kwa zaidi ya elfu 20
Mradi huu ni wa serikali kwa kupitia Taasisi zake.
Aliyeufisadi hajulikani.
Na mwenye mradi hajulikani, lakini fedha zilizotumika ni za Watanzania.
Sikumbuki kama kuna mtu yeyote aliyechukuliwa hatua kwa kufeli mradi huu.
Bunge lipo na Spika wake, na mwenye mradi serikalini yupo.
Mama Yuko Kwa Yale yaliyoshindikana.Wakati nyie mnaogopa kutukanwa basi yeye amefanya.Mama kwenye hili la kuendeleza miradi amefanikiwa kwa sana
Magufuli alikuwa na roho ya kimaskini sana. Kweli tuangalie background za watu kabla hatujawapa madaraka. Imagine investment kama ile, unaiacha IDLE kwa miaka yote kwa faida ya nani?Kwani aliyevuruga mradi humjui?
Kwa Sasa mradi umeuzwa na wawekezaji Wanajua hatima Yao ila nssf ilishavuta chake.
Mwisho,mnapochagua Rais msiwe mnaokoteza watu from no where.
Hapo kwenye katiba mpya inaonyesha kuna nguvu kubwa iliyojificha ndiyo inakwamisha.Mama Yuko Kwa Yale yaliyoshindikana.Wakati nyie mnaogopa kutukanwa basi yeye amefanya.
-DP world
-Kuhamisha Masai wanaoharibu Hifadhi
-Kuleta Chanjo za uviko Ili Watalii wasikimbie Nchi
-Kukopa
-Kukwamua miradi yote iliyokwama
Amefeli Moja tuu la Katiba Mpya japo Huwa analitaja taja.
Watu wa hivyo si ndio Huwa mnawaita Wazalendo au? Ni athari za makuzi na Itikadi za kijamaa.Magufuli alikuwa na roho ya kimaskini sana. Kweli tuangalie background za watu kabla hatujawapa madaraka. Imagine investment kama ile, unaiacha IDLE kwa miaka yote kwa faida ya nani?
Hapa Afrika nchi zote watu kula wanakula na huwezi kuzuia, ila yeye ange deal na waliokula halafu project ie.delee kwa vile ilikuwa ina impact kubwa sana kwa wilaya ya Bagamoyo. Multiplier Effect ya Dege Eco Village ilikuwa inafunika RUSHWA yote waliyokula waliouleta.
Alivyo mjinga yeye kaenda kujenga miundombinu ya hatari kijijini kwao Chato kama Airport yabinternational runway. Amekufa na Airport imekufa. Mwacheni Mungu aitwe Mungu
Of course hapo ni pamoto sana kwake yaani inaonesha hata watu wa vyombo hawajawa tayari Kwa Katiba Mpya ndio shida.Hapo kwenye katiba mpya inaonyesha kuna nguvu kubwa iliyojificha ndiyo inakwamisha.
Tuitunze miradi anayo endeleza.
Kuna baadhi ya barabara za DMDP zimejaa mchanga kulia na kushoto,yaani gari zinapita katikati kama mto, nazo soon zitachakaa.
Taa za solar zilizowekwa maintenance yake nayo ni ya mashaka.
Kuna nguzo ya taa ipo pembeni ya JK park imetoka just a nut na kupelekea kuyumba;nimeiona for over 2yrs ipo vilevile.
Tujenge utamaduni wa kutunza pia
Imagine motto yake ilikuwa inasema "Nitawafanya matajiri waishi kama mashetani".Watu wa hivyo si ndio Huwa mnawaita Wazalendo au? Ni athari za makuzi na Itikadi za kijamaa.
Unataka watu wawe maskini Ili wakuabudu na uwatawale vizuri
Jamaa alivuruga Hadi Kigamboni new CityImagine motto yake ilikuwa inasema "Nitawafanya matajiri waishi kama mashetani".
Na wajinga walimpigia makofi
Badala ya kusema "Nitawafanya maskini waishi kama malaika"
hizo zawadi zipo hadi idi. utalinganisha hilo na mtu anayebadilisha ofisi ya umma kuwa msikiti? na wakati huo huo ni mwizi wa kutupwa.Usiwasahau na wale wanaotumia fedha ya serikali kununua maua na kuweka kwenye maofisi ya umma kunogesha sherehe za Christmas wakati serikali haina dini.
Yote hayakubaliki kila mtu akafanyie ibada zake na sherehe zake nyumbani kwake sio kwenye ofisi za umma.hizo zawadi zipo hadi idi. utalinganisha hilo na mtu anayebadilisha ofisi ya umma kuwa msikiti? na wakati huo huo ni mwizi wa kutupwa.
Hebu ulizia kama yanauzwq kuna mdau anayataka hayoNlipita hapo maghofu bado yapo
Ile sahv inabdi paitwe GHOST TOWN
ova