Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
NaaamKuna digrii zitapotea soon
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NaaamKuna digrii zitapotea soon
Mmeambiwa nendeni VETA mkasome mjiajiri1. Medicine & Surgery.
2. Computer Science & IT –
3. Law
4. Engineering (Mechanical, biomedical, Electrical, etc.)
5. Education.
Ongezea za kwako!
We could live without youKwahiyo sisi tunaowajengea Barabara, Maghorofa yenu mnayokaa, SGR, Mabwawa ya Umeme, Viwanja vya Ndege, Tunaowapatia Maji kwenye majumba yenu hata kama ya mgawo n.k
Hiyo inaitwa Civil Engineering
Ndiyo fani kongwe zaidi ya Uhandisi Duniani
Kwa lipi mkuu political science ni hovyo kaka si shauri hata mtu akasomeBila kuitaja political science hizo zote ni takataka yaani hazina mashiko
How Sir?We could live without you
Civil is not about what we study mkuu, kwasababu hata nyumba nilizo nazo Leo hii hazijajengwa na civil engineersHow Sir?
😂 Community development, sociologyDigrii karibu zote ni muhimu, njaa tu ndo zinatufanya tuzipange hizo digrii.
Hizo ulizotaja huwezi ona application zake bongo sababu ya NJAA Kwa maana njaa zetu hutupeleka tukasome MD nk. CD na Sociology ni digrii zenye application nzuri tu Kwa wenzetu.😂 Community development, sociology
Vipi hizo field nyingine za Maji/Barabara n.kCivil is not about what we study mkuu, kwasababu hata nyumba nilizo nazo Leo hii hazijajengwa na civil engineers
Brother Kuna field zikiondolewa Leo hii Dunia haiwezi kuwepo ila nikuuliza ni kipi civil anakifanya zaidiVipi hizo field nyingine za Maji/Barabara n.k
Mkuu imagine living without having this field having degree inamaanisha mtu yupo competentHakuna mahali popote unaweza kupewa degree ya Medicine & Surgery kwa heshima tu bila kusomea, kufuzu na kufanya internship. Rekebisha hapo!.
Law is overrated. It doesn't even need a lab and can be changed by ignorant MPs 😂😂😂.1. Medicine & Surgery.
2. Computer Science & IT –
3. Law
4. Engineering (Mechanical, biomedical, Electrical, etc.)
5. Education.
Ongezea za kwako!
Sorry, uko sahihi sikuzingatia unalenga nini. 🤝Mkuu imagine living without having this field having degree inamaanisha mtu yupo competent
If we didn't have law, conflicts wouldn't be solved pia tungekuwa na endless conflict ila law is like a referee whenever there's conflict law can solve kakaLaw is overrated. It doesn't even need a lab and can be changed by ignorant MPs 😂😂😂.