Degree 5 Bora Zinazotakiwa Kupewa Heshima

Mwanasheria ni mtu aliyebobea katika masuala ya sheria na hutoa ushauri wa kisheria, kutetea wateja mahakamani, na kuhakikisha haki inatendeka kulingana na sheria za nchi pia kutoa suluhisho katika utofauti fulani wa watu.
Kwanza kabisa tushaona sheria si haki.

Unaweza kuwa na sheria bila haki, na unaweza kuwa na haki bika sheria.

Pili, umemtaja mwanasheria kama mtu ambaye kabobea katika sheria, mtu akisoma sheria na kupata vyeti vyote, lakini hajabobea kwenye sheria, huyo ni mwanasheria au si mwanasheria?

Na pia, mtu ambaye hajasoma sheria formally lakini ni autodidact kabobea kwenye sheria, huyo ni mwanasheria au si mwanasheria?
 
Ngoja My good brother Kiranga nikujibu hivi:
Je, mtu ambaye hajapata elimu rasmi lakini amebobea kwenye sheria kupitia kujifunza mwenyewe (autodidact) ni mwanasheria?
Kifalsafa mtu huyo anaweza kuwa mjuzi wa sheria, walakn kisheria hawezi kuitwa mwanasheria rasmi kwa sababu hajafuata mfumo wa vyeti.
 
Pia, ni kweli sheria si haki kwa maana kwamba sheria ni kanuni zilizotungwa na wanadamu, ila zinaweza kuwa na mapungufu au kutokuwa na uadilifu. Unaweza kuwa na sheria isiyo ya haki, also haki inaweza kupatikana hata bila sheria rasmi.
Je mtu aliyesoma sheria lakini hajabobea bado ni mwanasheria?
Kisheria, mtu aliyesoma sheria na kupata vyeti vyote anaitwa mwanasheria kwa sababu ana sifa za kitaaluma. Kwahiyo, bro Kiranga mtu anaweza kuwa mwanasheria kwa sifa lakini si bingwa wa sheria kwa ujuzi.
 
Kwa hivyo kuwa mwanasheria ni kuwa na vyeti, hata kama hujui sheria?
 
Pia, ni kweli sheria si haki kwa maana kwamba sheria ni kanuni zilizotungwa na wanadamu, ila zinaweza kuwa na mapungufu au kutokuwa na uadilifu. Unaweza kuwa na sheria isiyo ya haki, also haki inaweza kupatikana hata bila sheria rasmi.
Je mtu aliyesoma sheria lakini hajabobea bado ni mwanasheria?
Kisheria, mtu aliyesoma sheria na kupata vyeti vyote anaitwa mwanasheria kwa sababu ana sifa za kitaaluma. Kwahiyo, bro Kiranga mtu anaweza kuwa mwanasheria kwa sifa lakini si bingwa wa sheria kwa ujuzi.
Ukishakubali sheria si haki tu umeshadogosha sana umuhimu wa somo la sheria.

Na kama mwanasheria ni mtu mwenye vyeti tu hapo napo umedogosha sana umuhimu wa wanasheria.
 
Brother Kiranga, cha msingi hapa ni kutambua kwamba sheria ni mfumo wa kanuni zinazotungwa na wanadamu ila zinaweza kuwa na mapungufu. Haki, kwa upande mwngine, ni dhana pana inayohusiana na maadili, usawa, na uhalali wa kimaadili. "Lengo la sheria ni kuhakikisha haki, lakini sio kila sheria inahakikisha haki kwa kila mtu kila wakati."
 
Bro, umuhimu wa somo la sheria haupo tu kwenye kujua sheria zilivyoandikwa, bali pia katika kuelewa malengo yake, effects zake, na jinsi zinavyoweza kubadilishwa ili kuhakikisha zinafanya kazi kwa haki zaidi.
 
Naam.

Sheria inaweza kutungwa na wabunge wajinga.

Lakini katika Engineering una deal na sheria za asili ukiharibu unapata ajali na janga.
 
Bro, umuhimu wa somo la sheria haupo tu kwenye kujua sheria zilivyoandikwa, bali pia katika kuelewa malengo yake, effects zake, na jinsi zinavyoweza kubadilishwa ili kuhakikisha zinafanya kazi kwa haki zaidi.
Sijasema sheria si muhimu, nimesema sheria si muhinu kama inavyofanywa kuwa muhimu.

Hayo ni mambo mawili tofauti.

I am not saying the law is not important.

I am saying the law is overrated.

Those are two different things.
 
Haiko hivyo mkuu pale bungeni kuna chief draftsman huyu ndio hudraft sheria na kuzifafanua.Wabunge hawatengenezi sheria au kubadili wao hupitisha sheria.
Wabunge wamepitisha sheria ya kuondoa vipengele vya ku protect natural resources bila hata kuisoma, wakaja kulalamika baada ya kuipitisha.

Hawa wabunge wasiojua hata Kiingwrwza dhana za mishwria deep hata kuzielewa wanazielewa?

Chief draftsman ni muajiriwa wa serikali. Mbunge anatakiwa kuisimamia serikali.

Sasa mbunge atamtegemea vipi muajiriwa wa serikali ikiwa mbunge anatakiwa kuisimamia serikali?

Huoni conflict hapo?
 
We jamaa bwana fani kongwe hapo ni mechanical engineering
Umewahi kusikia kuhusu Pyramids za Misri ya kale

Ama umewahi kusikia kuhusu Zana za mawe za kale/kati na mwisho ambapo Binadamu alikuwa analala kwenye mapango kabla hajagundua moto kupitia uwimbo na ulindi?

Fani ya kwanza kabisa ya Uhandisi ilikuwa ni Ujenzi

Hata hayo mapango yalikuwa ni skills ya Uhandisi wa kale wa Ujenzi
 
Back
Top Bottom