Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Nami Nataka KujuaKwahiyo hawa hawatakwenda VETA?
Au VETA inawahusu wote wenye degree?
Kassim Jamani Limemtoka Neno Na Taharuki Hapo Hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nami Nataka KujuaKwahiyo hawa hawatakwenda VETA?
Au VETA inawahusu wote wenye degree?
Hali Ya Hewa Imechafuliwa Na KassimHao wote wanatakiwa kwenda VETA , hakuna cha degree Bora wala nini wote muende veta
Field zote ni important bro ila Kuna kuwa na top fieldsWakuu-Wadau wote mlioko hapa jamvini; itoshe tu kusema FANI ZOTE zilizotajwa hapo juu 👆 👆 na zile ambazo hazikutajwa (labda kutokana na muda na nafasi kuwa sio rafiki e.g. Polisi n.k.) ikiwa ni pamoja na zile zisizo rasmi i.e. hazinaga vyeti e.g. maafisa Usafirishaji, mama lishe, Dada poa, waganga (Sangoma) n.k. zote ni muhimu sana kwa wakati wake na mahali pake stahiki. Tena nawashauri tusichukulie eti ugumu (complexity) ya Fani kuwa ndo kiashiria cha Umuhimu wa fani husika. HAPANA. Umuhimu wa Fani ni pale inapoweza kutatua au kutoa suluhisho kwa changamoto zinazomkabili mwanadamu kwa muda muafaka.
Kwa mfano:
Itoshe tu kusema Fani zote ni kama viungo katika mwili mmoja. Kila kiungo ni muhimu, kinahitajika halahu vinategemeana (Mutually related).
- Huwezi kuniambia habari za Engineering wakati mahindi yangu yanakauka kwa jua- sitakuelewa.
- Huitaniingia akilini kwa wewe kunieleza umuhimu wa Computer science wakati ng'ombe zangu zinakosa malisho - sitakuelewa
- Sitakusikiliza ukija kunieleza habari za Medicine &Surgery wakati nina kesi mahakamani na sijui hatma yake.
Ni hayo tu.
Hatutakiiii [emoji23][emoji23][emoji23]Hao wote wanatakiwa kwenda VETA , hakuna cha degree Bora wala nini wote muende veta
Na hizo algorithms zinarun on the semiconductor chip Engineered from Billions of Transistors.Computer Science "The Brain Behind Everything"
Bro, kwa upande mwingine Computer Science imeleta akili kwenye vifaa vyote. Mfumo wowote wa kisasa unategemea program na algorithms zilizotengenezwa na Computer Scientists. Vifaa vya hospitali kama mri, Ct-Scan, ventilators haviwezi kufanya kazi bila kuwa programmed. Technology kam AI, Cybersecurity, na Cloud Computing inachange kila sekta, kutoka afya, biashara, hadi uchumi wa dunia nzima.
haupo informed kuwa dunia inahitaji njni .. kuna kitu kinachoitwa data science ambayo dunia ndo kipo hot na AI1. Medicine & Surgery.
2. Computer Science & IT –
3. Law
4. Engineering (Mechanical, biomedical, Electrical, etc.)
5. Education.
Ongezea za kwako!
Hii haijatulia - haitoi ushawishi wa kukubalika.futa sheria af dunia na watu wake waishi wanavyotaka apo nd utamwelewa mleta mada. Kaweka fields ambzo ni useful in daily life meaning kutokuwepo kwake kutabadilisha mtazamo wote wa dunia. Bila sheria hata vita za dunia zisingeisha, bila doctors watu wangekufa hovyo kwahy hzo n lazma ziwepo. Hao wachumi so lazma watu wanaweza ishi ata kwa kubadilishana bidhaa kwa bidhaa nd mana haijawekwa top 5
60 degree South, 0 degrees North1. Medicine & Surgery.
2. Computer Science & IT –
3. Law
4. Engineering (Mechanical, biomedical, Electrical, etc.)
5. Education.
Ongezea za kwako!
Jamaa anashangaza sana! He deliberately denies the work of Engineers to transform this primitive world mpaka kufika hapa ilipo.Kwahiyo sisi tunaowajengea Barabara, Maghorofa yenu mnayokaa, SGR, Mabwawa ya Umeme, Viwanja vya Ndege, Tunaowapatia Maji kwenye majumba yenu hata kama ya mgawo n.k
Hiyo inaitwa Civil Engineering
Ndiyo fani kongwe zaidi ya Uhandisi Duniani
Hakuna niliposema futa sheria.futa sheria af dunia na watu wake waishi wanavyotaka apo nd utamwelewa mleta mada. Kaweka fields ambzo ni useful in daily life meaning kutokuwepo kwake kutabadilisha mtazamo wote wa dunia. Bila sheria hata vita za dunia zisingeisha, bila doctors watu wangekufa hovyo kwahy hzo n lazma ziwepo. Hao wachumi so lazma watu wanaweza ishi ata kwa kubadilishana bidhaa kwa bidhaa nd mana haijawekwa top 5
Sikubaliani na wazo hilo. Field zote very important na zipo equally top.Field zote ni important bro ila Kuna kuwa na top fields
Yeye angekuwa ndo wa kwanza kuonesha mfano kama Rashidi Kawawa ( RIP) alipoelekeza wasomi kwenda JKT. Au huyu mwamba hahusiki?
Bro kusema "Field zote ni equally top," lakini ukweli ni kwamba si kweli kwamba taaluma zote zina uzito sawa katika kila muktadha wa maisha your statement is false bro please clarify it again.Sikubaliani na wazo hilo. Field zote very important na zipo equally top.
e.g. Mtu mgonjwa at specific time atamwona Daktari ni the most important guy at that time hana muda na Lawyers, wataalam wa Computers et al. Lakini Mtu aliyetuhumiwa kosa la mauaji at the same specific time atamkumbatia sana Mwanasheria ilhali mtu aliyezingirwa katika mapigano ya kivita at the same specific time atamwona Askari ndiye mkombozi wake. Hao ni mfano tu wa watu watatu(3) tofauti, wako katika scenarios tofauti lakini kwa wakati mmoja (specific time).
Ni mtizamo binafsi tu ndo unaotufikisha hapo pa kuchambua na kusema eti hii ni bora kuliko ile. Lakini fani zote ni bora na ni muhimu sana ziwepo na zipewe hashima stahiki. Kila Fani kuna muda/wakati wake inakuwa ndo iko Top e.g. Kipindi cha mlipuko wa ugonjwa (say COVID 19 au M-pox) madaktari ndo i habari ya mjini - wahandisi na wenzao, juzi kati hapo jengo la K/Koo lilipodondoka walikumbukwa sana.
We can live without civil engineers nowJamaa anashangaza sana! He deliberately denies the work of Engineers to transform this primitive world mpaka kufika hapa ilipo.
Hata mimi I'm not majoring in Civil ila naelewa wanafanya nn kwa hii dunia
😂😂😂Nendeni VETA mkapigwe msasa
Si ndaki ya mechanical hiyoIndustrial Automation Engineering, naona wengi hawaijui hii.