Degree 5 Bora Zinazotakiwa Kupewa Heshima

Degree 5 Bora Zinazotakiwa Kupewa Heshima

1. Medicine & Surgery.

2. Computer Science & IT –

3. Law

4. Engineering (Mechanical, biomedical, Electrical, etc.)

5. Education.

Ongezea za kwako!
ubongo sio bora kuliko moyo na moyo sio bora kuliko ini.....vilivile ivyo viungo sio bora kuliko uume au uke......kila kiungo kithaminiwe hakuna degree ya muhim kupita nyingne
 
1. Medicine & Surgery.

2. Computer Science & IT –

3. Law

4. Engineering (Mechanical, biomedical, Electrical, etc.)

5. Education.

Ongezea za kwako!
Waziri mkuu anasema wakitoka chuo waingie veta,

Sasa si Bora wangeenda veta Moja kwa moja
 
Weka unachokiona Cha maana mkuu,!
Uhasibu ni kazi kama kushona nguo hamna kitu kigumu utaniambia kkujua COGS inakuhitaji kukaa kwenye kimbweta miaka mitatu?
Unajichanganya kijana uhasibu una mambo mengi labda kama ulikosoma mliishia kwenye financial statements. Pia hicho unachodhani ni uhasibu sio bali ni kipengele ndani ya uhasibu kinachoitwa book keeping
 
Back
Top Bottom