Degree 5 Bora Zinazotakiwa Kupewa Heshima

Degree 5 Bora Zinazotakiwa Kupewa Heshima

Jamaa anashangaza sana! He deliberately denies the work of Engineers to transform this primitive world mpaka kufika hapa ilipo.
Hata mimi I'm not majoring in Civil ila naelewa wanafanya nn kwa hii dunia
Nahisi hajui mambo mengi makubwa yafanywayo na wataalamu wa hiyo field kuanzia njia za Uchukuzi za barabara, reli, viwanja vya Ndege, majengo, miundombinu ya Maji, mabwawa ya kuzalishia Umeme n.k
 
Education inafanya nn hapo mkuu
Mkuu; hao wataalam wote na fani zote, kwani walijikuta tu mara paap' ni daktari au paaap' ni mhandisi n.k. n.k. au ni kweli kwamba kuna mahali (chuo) walipitia na hapo alikuwepo mtu (mwl.)aliyekuwa akiwalisha(Training) maujanja wanayojivunia hapa leo??
 
1. Medicine & Surgery.

2. Computer Science & IT –

3. Law

4. Engineering (Mechanical, biomedical, Electrical, etc.)

5. Education.

Ongezea za kwako!
Eti waende Veta kweli Ka Simu ni Ka Simu tu mengine Majaliwa yaan mtu huyu leo unamwambia aende Veta wewe Veta ulienda ulipomaliza Chuo? Mwanao hata mmoja alipomaliza Chuo ulimpeleka Veta?
 
Doctor of Political Science (PhD-PS)
Huyu nae aelekee Veta? Kweli Majaliwa alisema Magufuli bado yupo Ofisini anachapa kazi... na watu wakamwamini kumbe masikini Magu kitambo yupo Lugalo kalala zake kwenye Friji sio Majaliwa huyu aliesema hivyo? Yaan anataka kuwapeleka tena Chaka lingine vijana kisa tu hawana ajira
 
Eti waende Veta kweli Ka Simu ni Ka Simu tu mengine Majaliwa yaan mtu huyu leo unamwambia aende Veta wewe Veta ulienda ulipomaliza Chuo? Mwanao hata mmoja alipomaliza Chuo ulimpeleka Veta?
Mkuki kwa nguruwe! Ka telephone hajawatendea haki wasomi wetu - amewadhalilisha.
Kwa utani lakini: Mkubwa akishauri jambo ujue hilo sio ombi bali ni agizo na ni Amri.
 
Mkuki kwa nguruwe! Ka telephone hajawatendea haki wasomi wetu - amewadhalilisha.
Kwa utani lakini: Mkubwa akishauri jambo ujue hilo sio ombi bali ni agizo na ni Amri.
Hakuna cha mkubwa yule ni muwakilishi wa Wananchi usimkuze sana mkubwa ni Mungu tu hawa wengine wameshika vijivyeo tu vya muda sio vya milele maana akitoka yeye atakaa mwingine na awamu ijayo hatokua yeye atakua mwingine kwa hio atengue kauli yake mapema before it's too late
 
Hakuna digrii iliyo bora kuliko nyingine. Kinacho matter ni jinsi unavyoitumia. Ingawa wengi hawana digrii lakini bila wazibua/ watapishaji vyoo na wazoa takataka tusingeweza kuishi mjini. Kipato kikubwa sio ishara ya umuhimu wake.

Amandla...
 
Back
Top Bottom