Degree 5 Bora Zinazotakiwa Kupewa Heshima

Degree 5 Bora Zinazotakiwa Kupewa Heshima

1. Medicine & Surgery.

2. Computer Science & IT –

3. Law

4. Engineering (Mechanical, biomedical, Electrical, etc.)

5. Education.

Ongezea za kwako!
Hujafafanua 1. umeangalia kigezo gani kwenye huo ubora, 2. is it world wide ama kwa Tanzania?? 3. kinachofanya law, Medicine na Computer Science kuwa above Engineering ni kipi?
 
Unaichukulia aje medicine na computer science mkuu?
Unatumia computer! Who transformed the physics of solid states to the working computer? Who builds hizo vifaa vinafanyia analysis? Engineers are working day and night kuitransform hii dunia into the shape unaiona saivi. Engineers are responsible for every step tunamake kwa haya maisha, eti kabisa unauthubutu wa kuweka CS above Engineering wewe!!!! Na fact yako ilikuwa kuweza kusurvive
 
1. Medicine & Surgery.

2. Computer Science & IT –

3. Law

4. Engineering (Mechanical, biomedical, Electrical, etc.)

5. Education.

Ongezea za kwako!
Veta ndo mchongo mzima.
Screenshot_20250314_090748.jpg
 
Unatumia computer! Who transformed the physics of solid states to the working computer? Who builds hizo vifaa vinafanyia analysis? Engineers are working day and night kuitransform hii dunia into the shape unaiona saivi. Engineers are responsible for every step tunamake kwa haya maisha, eti kabisa unauthubutu wa kuweka CS above Engineering wewe!!!! Na fact yako ilikuwa kuweza kusurvive
Computer Science "The Brain Behind Everything"
Bro, kwa upande mwingine Computer Science imeleta akili kwenye vifaa vyote. Mfumo wowote wa kisasa unategemea program na algorithms zilizotengenezwa na Computer Scientists. Vifaa vya hospitali kama mri, Ct-Scan, ventilators haviwezi kufanya kazi bila kuwa programmed. Technology kam AI, Cybersecurity, na Cloud Computing inachange kila sekta, kutoka afya, biashara, hadi uchumi wa dunia nzima.
 
Kama fact yako ilibase na taaluma ambazo hatuwezi kusurvive bila hizo
Basi
1. Engineering
2. Medicine
Ndo zifate vitu vyengine
Sielewi hata Law ilikuwa inafanya nini top 3
Ukweli ni kwamba leo Computer Science inashika kasi sana na inaathiri kila sekta ila haimaanishi kuwa Engineering haina thamani. Tunahitaji zote mbili ili kuendelea kuleta mabadiliko duniani but computer science stays at the top.
 
Afrika ya Kusini walikuwa na sheria ya ubaguzi wa rangi.

Ilikuwa ni sheria ya nchi, lakini haikuwa haki.

Marekani walikuwa na sheria za utumwa na ubaguzi wa rangi.

Zilikuwa sheria za nchi, lakini hazikuwa haki.

Unaweza kuwa na sheria ukawa huna haki.

Unaweza kuwa na haki bila ya sheria.

Huelewi wapi?
futa sheria af dunia na watu wake waishi wanavyotaka apo nd utamwelewa mleta mada. Kaweka fields ambzo ni useful in daily life meaning kutokuwepo kwake kutabadilisha mtazamo wote wa dunia. Bila sheria hata vita za dunia zisingeisha, bila doctors watu wangekufa hovyo kwahy hzo n lazma ziwepo. Hao wachumi so lazma watu wanaweza ishi ata kwa kubadilishana bidhaa kwa bidhaa nd mana haijawekwa top 5
 
1. Medicine & Surgery.

2. Computer Science & IT –

3. Law

4. Engineering (Mechanical, biomedical, Electrical, etc.)

5. Education.

Ongezea za kwako!
Wakuu-Wadau wote mlioko hapa jamvini; itoshe tu kusema FANI ZOTE zilizotajwa hapo juu 👆 👆 na zile ambazo hazikutajwa (labda kutokana na muda na nafasi kuwa sio rafiki e.g. Polisi n.k.) ikiwa ni pamoja na zile zisizo rasmi i.e. hazinaga vyeti e.g. maafisa Usafirishaji, mama lishe, Dada poa, waganga (Sangoma) n.k. zote ni muhimu sana kwa wakati wake na mahali pake stahiki. Tena nawashauri tusichukulie eti ugumu (complexity) ya Fani kuwa ndo kiashiria cha Umuhimu wa fani husika. HAPANA. Umuhimu wa Fani ni pale inapoweza kutatua au kutoa suluhisho kwa changamoto zinazomkabili mwanadamu kwa muda muafaka.
Kwa mfano:
  • Huwezi kuniambia habari za Engineering wakati mahindi yangu yanakauka kwa jua- sitakuelewa.
  • Huitaniingia akilini kwa wewe kunieleza umuhimu wa Computer science wakati ng'ombe zangu zinakosa malisho - sitakuelewa
  • Sitakusikiliza ukija kunieleza habari za Medicine &Surgery wakati nina kesi mahakamani na sijui hatma yake.
Itoshe tu kusema Fani zote ni kama viungo katika mwili mmoja. Kila kiungo ni muhimu, kinahitajika halahu vinategemeana (Mutually related).
Ni hayo tu.
 
Kwahiyo sisi tunaowajengea Barabara, Maghorofa yenu mnayokaa, SGR, Mabwawa ya Umeme, Viwanja vya Ndege, Tunaowapatia Maji kwenye majumba yenu hata kama ya mgawo n.k

Hiyo inaitwa Civil Engineering

Ndiyo fani kongwe zaidi ya Uhandisi Duniani
Ahsante umenisaidia gran pah, nilitaka niitaje hii.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom