Degree 5 Bora Zinazotakiwa Kupewa Heshima

Degree 5 Bora Zinazotakiwa Kupewa Heshima

Wakuu-Wadau wote mlioko hapa jamvini; itoshe tu kusema FANI ZOTE zilizotajwa hapo juu 👆 👆 na zile ambazo hazikutajwa (labda kutokana na muda na nafasi kuwa sio rafiki e.g. Polisi n.k.) ikiwa ni pamoja na zile zisizo rasmi i.e. hazinaga vyeti e.g. maafisa Usafirishaji, mama lishe, Dada poa, waganga (Sangoma) n.k. zote ni muhimu sana kwa wakati wake na mahali pake stahiki. Tena nawashauri tusichukulie eti ugumu (complexity) ya Fani kuwa ndo kiashiria cha Umuhimu wa fani husika. HAPANA. Umuhimu wa Fani ni pale inapoweza kutatua au kutoa suluhisho kwa changamoto zinazomkabili mwanadamu kwa muda muafaka.
Kwa mfano:
  • Huwezi kuniambia habari za Engineering wakati mahindi yangu yanakauka kwa jua- sitakuelewa.
  • Huitaniingia akilini kwa wewe kunieleza umuhimu wa Computer science wakati ng'ombe zangu zinakosa malisho - sitakuelewa
  • Sitakusikiliza ukija kunieleza habari za Medicine &Surgery wakati nina kesi mahakamani na sijui hatma yake.
Itoshe tu kusema Fani zote ni kama viungo katika mwili mmoja. Kila kiungo ni muhimu, kinahitajika halahu vinategemeana (Mutually related).
Ni hayo tu.
Field zote ni important bro ila Kuna kuwa na top fields
 
Screenshot_20250314-075844.jpg
 
Computer Science "The Brain Behind Everything"
Bro, kwa upande mwingine Computer Science imeleta akili kwenye vifaa vyote. Mfumo wowote wa kisasa unategemea program na algorithms zilizotengenezwa na Computer Scientists. Vifaa vya hospitali kama mri, Ct-Scan, ventilators haviwezi kufanya kazi bila kuwa programmed. Technology kam AI, Cybersecurity, na Cloud Computing inachange kila sekta, kutoka afya, biashara, hadi uchumi wa dunia nzima.
Na hizo algorithms zinarun on the semiconductor chip Engineered from Billions of Transistors.
Engineers are working day and night kudesign chips and computer architecture, they transform the Physics of the materials found in this world into working solutions like a computer itself, kama sasa wanavyotransform the world to the realm of Quantum chips. Unapoweka computer science above engineering bado nashindwa kuelewa maana yako
Functionality zote na strength unazoziona kwenye computer ni result ya Engineering be it Networking, Serial Communication, Power Consumption
Hatungekuwa na fani kama CS bila ya kuwapo Engineering NEVER! Ni sawa na miaka ijayo itokee Degree ya Artificial Intelligence halafu aje mtu aseme ni bora kuliko Computer Science meanwhile the whole thing was carefully designed using the science of computers atakuwa anashangaza watu.
 
futa sheria af dunia na watu wake waishi wanavyotaka apo nd utamwelewa mleta mada. Kaweka fields ambzo ni useful in daily life meaning kutokuwepo kwake kutabadilisha mtazamo wote wa dunia. Bila sheria hata vita za dunia zisingeisha, bila doctors watu wangekufa hovyo kwahy hzo n lazma ziwepo. Hao wachumi so lazma watu wanaweza ishi ata kwa kubadilishana bidhaa kwa bidhaa nd mana haijawekwa top 5
Hii haijatulia - haitoi ushawishi wa kukubalika.
Kwani (hili liko wazi na ni la kweli) kabla ya uwepo wa hao unaowaita doctors unadhani watu walikuwa hawaugui na kupona/kufa? Mbona sasa hivi doctors wapo na magonjwa yapo na vifo vipo na vinaendelea? What is their impact?
Sheria SIKU ZOTE zipo ndani ya mioyo(Rohoni) ya watu (inner conscious). Haihitaji mtu-mwanasheria aje kukuambia eti kuua binadamu mwenzako ni kosa - Rejea Amri kumi za Mungu (Biblia Takatifu &Q'uran tukufu) hizo mtu huzaliwa akiwa nazo tayari.
Kuziandika Sheria ni urasimishaji tu wa yale yaliyo tayari ndani rohoni mwa kila binadamu lakini hakuna asiyejua kwamba jambo hili ni kosa na hili ni halali. Maboresha hapo ni kuweka makubaliano ya Kijamii kwamba anayetenda kosa apewe adhabu gani n.k. Ndo mana kutokana na ukweli kwamba hakuna binadamu aliye mkamilifu, hata hizo Sheria alizojiandikia zina mapungufu na zinahitaji kupitiwa mara kwa mara (Reviewed) ili kufanyiwa marekebisho.
 
It all start from the
Solid state physics - > then we get chips - > then we get the instruction set - > kisha the remaining part ndo inafata Computer Science.
designing CPU architecture, Memory Architecture, Register Architecture, Bus Architecture, Interrupt Architecture kadha wa kadha then comes The HAL itself (Instruction Set) this is all the work of Engineers
 
Kwahiyo sisi tunaowajengea Barabara, Maghorofa yenu mnayokaa, SGR, Mabwawa ya Umeme, Viwanja vya Ndege, Tunaowapatia Maji kwenye majumba yenu hata kama ya mgawo n.k

Hiyo inaitwa Civil Engineering

Ndiyo fani kongwe zaidi ya Uhandisi Duniani
Jamaa anashangaza sana! He deliberately denies the work of Engineers to transform this primitive world mpaka kufika hapa ilipo.
Hata mimi I'm not majoring in Civil ila naelewa wanafanya nn kwa hii dunia
 
futa sheria af dunia na watu wake waishi wanavyotaka apo nd utamwelewa mleta mada. Kaweka fields ambzo ni useful in daily life meaning kutokuwepo kwake kutabadilisha mtazamo wote wa dunia. Bila sheria hata vita za dunia zisingeisha, bila doctors watu wangekufa hovyo kwahy hzo n lazma ziwepo. Hao wachumi so lazma watu wanaweza ishi ata kwa kubadilishana bidhaa kwa bidhaa nd mana haijawekwa top 5
Hakuna niliposema futa sheria.

This logical fallacy is called strawman argument.
 
Field zote ni important bro ila Kuna kuwa na top fields
Sikubaliani na wazo hilo. Field zote very important na zipo equally top.
e.g. Mtu mgonjwa at specific time atamwona Daktari ni the most important guy at that time hana muda na Lawyers, wataalam wa Computers et al. Lakini Mtu aliyetuhumiwa kosa la mauaji at the same specific time atamkumbatia sana Mwanasheria ilhali mtu aliyezingirwa katika mapigano ya kivita at the same specific time atamwona Askari ndiye mkombozi wake. Hao ni mfano tu wa watu watatu(3) tofauti, wako katika scenarios tofauti lakini kwa wakati mmoja (specific time).
Ni mtizamo binafsi tu ndo unaotufikisha hapo pa kuchambua na kusema eti hii ni bora kuliko ile. Lakini fani zote ni bora na ni muhimu sana ziwepo na zipewe hashima stahiki. Kila Fani kuna muda/wakati wake inakuwa ndo iko Top e.g. Kipindi cha mlipuko wa ugonjwa (say COVID 19 au M-pox) madaktari ndo i habari ya mjini - wahandisi na wenzao, juzi kati hapo jengo la K/Koo lilipodondoka walikumbukwa sana.
 
Bro kusema "Field zote ni equally top," lakini ukweli ni kwamba si kweli kwamba taaluma zote zina uzito sawa katika kila muktadha wa maisha your statement is false bro please clarify it again.
Ni lazima tukubali kuwa kuna taaluma ambazo ni msingi wa maisha ya binadamu kwa ujumla, kama vile udaktari na computer science Hatuwezi kusema udaktari uko sawa na tourism sijui hotel management kwa mfano, kwa sababu afya ni msingi wa uhai, ilhali tourism ni sekta ya huduma inayosaidia uchumi lakini siyo hitaji la msingi kwa maisha.

Mfano mzuri ni huu: Kama kuna nchi isiyo na madaktari, watu wake watakufa kwa magonjwa ambayo yanaweza kutibika. Ila kama nchi hiyo haina tour guide au watu wa hotel management, bado itaendelea kuwepo bila tatizo kubwa. Vivyo hivyo, dunia ya sasa haiwezi kuendelea bila computer science kwa sababu kila kitu, kutoka afya, communication, fedha, hadi elimu, kinategemea Technology.
Kwa hiyo, kusema "taaluma zote ni sawa" si sahihi. Ukweli ni kwamba taaluma zote zina umuhimu kwa kiasi fulani lakini Kuna top tàaluma, ila zina viwango tofauti vya umuhimu kulingana na mchango wake katika maisha ya binadamu.
 
Back
Top Bottom