Degree bora ya biashara

ila kwanini haipo midomoni kwa watu kama Bcom BBF na nyinginezo
 
inadepend unataka kua nan..but if u wana be a professional accountant...nbaa wanaregonize bcom(accounting),bba(accounting),baf,ada na bachelor of accounting wakati wa kukupa exemption ili ueze kupiga pepa za final stage
 
Tatizo vijana na course za mauzo ndo 2napoteana
 
digree bora ni kulingana na malengo yako.mfano kuna mwingne anasoma hospitality and tourism na anajiajili,na mwingne anasoma finance anaajiliwa,ipi bora.mfano mi nasoma account bachelor na economix masters nataka kujiajili kwa kuwa nimesoma kitu nnachoona kina fursa kutokana na malengo yangu.kuna rafk yangu anasoma socialogy kwake ni bora coz inaendana na malengo yake ya kujiajili.USIANGALIE MTU ALIEAJILIWA KASOMA KITU FULAN NAWE UNALILIA,KILA MTU ANAMALENGO NA BAHAT YAKE."dont compare ur self with anyone in this world."bill gates
 


BIG UP MKUU, huo ni ukweli mtupu, kwa mfano B.com ya INDIA inashabihiana na BACHELOR OF ACCOUNTANCY ya Tanzania....!!!

msinielewe vibaya.......!!!!
 
Kwa Maoni yangu...BAF,

Ukisoma Business Accounting and Finance Mzumbe utapata wigo mpana sana kwenye Accounting and Finance,

Kwa ushuhuda tu,nimefanya CPA na watu wa Bcom waliochukua mchepuo wa Account Udsm hawakua vizuri sana kwenye Finance kwa sababu kwao accounts n Finance hutengwa nadhani second year.

Ndugu mtoa mada,ukizungumzia degree ya biashara ili uchague yategemeana na ni nini malengo yako,kama unataka kua mhasibu na kuja kufanya maCPA au ACCA ushauri wangu ni BAF ikifuatiwa na BCOm, ila kama malengo ni kusoma tu biashara na huna nia ya kuja kua na proffession ya uhasibu mbeleni kwa mtazamo wangu hizo BBA zitakufaa

Naomba kuishia hapo kwani hizo zingine mbili sizifaham..BECA na BBF kwa kweli sijawahi zisikia,hivyo ni busara nisiseme jambo nisilo lijua.

Ahsante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…