Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
accountancy mbona hamjaiweka?
BBA tena tafuta ile general ambayo haina specialization, just my opinion
huo ndio ukweli mkuu
kwa hyo nyinyi ndo shirika la viwango vya taaluma?,usiishie kusema ni bora2 bila kudadavua kwa vivid and researched facts!otherwise ni kubwabwaja2!
Yangu macho tu
BBA dah hakunaga
degree bora ni ile unayoweza kujuajil kw wepesi n so kusubiri kuajilwa lol
nimekupm mkuu.
,kwani course content za baf,accountancy na bcom,bba ya account,. Zinautofauti gani,?ni majina tu hayo ambayo chuo inajiwekea ukifanya utafiti utakuta kidogo tu zinatofautiana labda ardhi ndo wameongeza unit na muccobs,lakn ukiingia deep kila .course ina purpose yake.mfano angalia bcom ya udsm na accountancy ya tia.hazna utofauti.hi logic nlipewa wizara ya fedha sabasaba trade fair.