Degree holder nimerudi kusoma VETA, hivi vyeti ni kupiga mikasi

Degree holder nimerudi kusoma VETA, hivi vyeti ni kupiga mikasi

Kwanza nikupongeze kwa uamuzi mzuri sana uliochukua
Mim nimepiga chuo moja cha ufundi kikubwa hapa tz,najivunia kua fundi!

Fani uliyoichagua ni nzuri na NGUMU mno
Tumia hiyo smartphones yako kikamilifu upande wa kusoma soma
Watu wengi hidhani umeme wa magari ni kuwasha taa za gari ,indicator na kushusha vioo hapana
Sasahivi magarimengi yanatumia mfumo wa umeme sehemu kalibu zote!
Nkupe kimfano kidogo
Kuna jamaa yangu mmja gari yake ilikua full controllable na radio ya gari japo redio ilikua ina display kichina
Yaan Ac na mazaga yooote yanafanyika humo
Siku moja katika serves akachomoa terminal betri! Kuja kurudishia ile radio ikawa inadai kode ambazo zinatolewa na pioneer wenyewe kwa kulipia 6000 tu zakibongo!
Wale mafundi kwakua hawakua watafiti walijikuta wanalalua ile dashboard yooote
Na walishindwa!!!
Jamaa akashakua amekata tamaa kupona akiaminishwa kua kuna hitilafu ndani!!!
Akiwa amekata tamaa alikutana na jamaa mmja kama finally trying
Jamaa aka translate tu maandishi akalipia akapata code akajaza kitu imoooo
Sasa basi nachotakaka kukushauli mkuu hiyo fani jitoe sana sana sana kuisoma na ku i practise
Uzuri mambo mengi yapo mtandaoni
Me nlisoma umeme wa nyumbn
 
Shukrani sana ndugu. Hii comment ingekuwa pinned kule juu ili kila anaepita hapa aione
 
Ndugu asante sana kwa ushauri mzuri, naahidi nitaufanyia kazi nisijeingia tena mtegoni
Eee mkuu kidg huku hakuna competition na hata ukiajiriwa kwa vyet vya degree yako utaitumia lesen kuendesha gar lako ... interview nyingi za udereva ni practical , mabos skuhz hawana bra bra na connection nyingi....pia magar ni mengi yaan ni ajira ambayo mtu anaacha Kaz ki urahs na mwingine anapewa Kaz kiurahs , sio selikarin et mbaka mtu afe shame au apande cheo ndio upate nafas, Ila changamoto ipo kwenye lesen kupata E moja kwa moja ni changamoto unahtaj miaka karbuni mitat, Ila unaweza ipata lesen hyo kwa namna flan flan hv , nazan unaelew
 
Mkuu kama unahitaji kuongeza cheti nenda veta.
Lakini kama unplan za kutaka upate ujuzi wa fani hiyo kisha ujiajiri (kama ulivyosema )/ufungue huduma yako mwenyewe.

Nakushauri, tafuta wa juzi wenye uzoefu na ufahamu mkubwa wa fani hiyo.

Hao watakupa maarifa , utajifunza huo ujuzi na utafahamu kazi/biashara hiyo inafanyajwe.

Itakufanya uwe vizuri practically, na theoretically utakuwa unatumia technologia zaid kujifunza mambo kuhusiana na ufundi wako..
Pia utaweza kujua faster , mwenendo wa biashara au service zinazotolewa zinafanyika vipi , faida ,hasara na changamoto zake.

HAPA SIIZUNGUMZII VETA KWA FANI ZOTE ...
Veta nayo ipo kibiashara tu *kwa Baadhi ya fani wanazozitoa katika upande wa practical wapo shallow vibaya mno.

Utajikuta hadi umemaliza course hakuna practical za maana zozote ulizofundishwa, either ukosefu wa vifaa, walimu wabovu (waliokosa ubunifu),

mitaala isiyendana wakati, unakuta unafundishwa mifumo ya kizamani huko na technolojia inabadilika kila kukicha.

Fani yoyote kwasasa inahitji mtu anayejifunza kuwa updated, kujiongeza kwa kila jambo kutokana na mabadiliko ya tech kila kukicha.
 
Uko SUA alichukua degree ya nini?
Sema nini uyo jamaa yako ni kiazi sana
Kwann,maana alkosa ajira ikabid ajiongeze fasta,angechelewa kdogo tu angesoma Co na bado angeendelea kuwepo mtaan kama ilivyo sasa
 
Tatizo tunasoma bila kujisomea kwanza,
Kama hujui kusudi lako unaweza ukadandia kusudi lolote na mwisho wake ni kutokujielewa.
 
Back
Top Bottom