Degree holder nimerudi kusoma VETA, hivi vyeti ni kupiga mikasi

Degree holder nimerudi kusoma VETA, hivi vyeti ni kupiga mikasi

GPA kubwa akili zero,kilichokufanya uandike huu uzi ni nini?
Tujue na wewe ulipata GPA kubwa?
Umelalamika ajira hakuna,unachokataa sasa ivi ni nini?
Umepotea ndugu uombaji wa kazi una principles zake,Ona huyu
 
Kwanza nianze kwa kumuombea dua kwa mwenyezi Mungu Rais wetu mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete, Mungu amlinde na kumpatia maisha marefu yenye furaha hapa Duniani.

Sijui mzee wetu Kikwete uliwezaje, maana ajira za kumwaga ulizokuwa ukitoa miaka 6 kurudi nyuma kwa kaka na Dada zetu leo kwa namna moja ama nyingine zimekuwa zikitusaidia na sisi majobless, leo unaweza kosa hata buku ya kula ukasaidiwa hata na ndugu ambae anakazi ya uhakika. Mungu akubariki sana muheshimiwa.

Wakati nikiwa advance shule yetu ilikuwa imepakana na chuo cha VETA, nilikuwa naona wale jamaa wamepotea njia kama sio kushindwa maisha. Kumbe bila kujua mimi ndio nilikuwa nimeenda kombo ya kiwango cha lami.

Najuta kupoteza muda, najuta kupoteza fedha ,najuta kutolitambua hili mapema, leo ninaishi kama nungunungu nisijue kesho yangu itakuwaje.

Ila mtafutaji hachoki, nimetuma maombi veta, nianze tena moja kusomea umeme wa magari. Mama Samia Hassan, nitoe pongezi kwako kwa kutufutia ile Value Retention Fee maana ilikuwa pigo kubwa kwa sisi majobless mungu akubariki sana mama.

Leo nimeamini cheti hakinunui bidhaa wala kulipa bili
Deeply from the bottom of my strong rough heart.....nmeumizwa na ukosefu wa ajira...but unaji underrate Sana mkuu hyo hyo kaz unayosomea unaenda ku compete Tena mtaan tena pengine competition ni kubwa kuliko katka degree . May be huna exposure....mm nlipo maliza form 4 baba alihisi nitafeli shule akanipeleka chuo Cha utukutu garage pale pale makambako...niliyoyaona huko ni kuwa hata huo umeme wa magari ni vigumu kukuingzia kipato usipo kuwa makini, let's move to the topic....now nasoma bachelor of science in computer science hapa iringa katka chuo x ..na nmeamua kusoma coz za udereva na nna lesen Ina madaraja mengi ikiwemo heavy duty vehicles driving E...huko ni rahsi Sana kuajiriwa ...narudia ni rahisi ..Ila umeme wa magari Kuna wahuni kibao kitaa wanapga Kaz na wanakosa deal sometimes naww unaenda hko, siongei tu from no where ,nmedeal na magar pia nmeish garage mama fundi baba suka...kijana unaenda ku compete tafta lesen, ni rahs kuajiriwa kuendesha semi na ukala posho ndefu kuliko bachelor uliyosomea Tena hata Mara mbili....NB dereva Makin anaingiza pesa Mara tatu au nne ya mwalimu mwenye degree Ila tu kilichonifanya nisiwe dereva licha ya kuwa najua Kuna pesa nyingi kuliko taaluma nnayosomea ni mfumo wa maisha wa madereva, kusafiri mda mrefu,Ila nimeweka udereva Kama plan B na ipo activated , na baba hajui kuwa nmesomea udereva na huwa anagomba Sana kuwa napoteza mda shule , so nmeuweka kuwa plan b, kwasababu najua kuwa jobless is real, pole mkuu.kama unaweza change your mind , usiwaze kuhusu ajira udereva ndio Kaz ambayo bado ipo open sana
 
Utasota sana kitaa kwa mindset hio ya kuamini ili upate ujuzi lazima uwe na cheti,haya nenda tena kapoteze mwaka mmoja veta
Ngoja nikuache, maana nimesha kuona wewe niwale ambao hawajielewi, wala hujui unacho kiandika
 
Deeply from the bottom of my strong rough heart.....nmeumizwa na ukosefu wa ajira...but unaji underrate Sana mkuu hyo hyo kaz unayosomea unaenda ku compete Tena mtaan tena pengine competition ni kubwa kuliko katka degree . May be huna exposure....mm nlipo maliza form 4 baba alihisi nitafeli shule akanipeleka chuo Cha utukutu garage pale pale makambako...niliyoyaona huko ni kuwa hata huo umeme wa magari ni vigumu kukuingzia kipato usipo kuwa makini, let's move to the topic....now nasoma bachelor of science in computer science hapa iringa katka chuo x ..na nmeamua kusoma coz za udereva na nna lesen Ina madaraja mengi ikiwemo heavy duty vehicles driving E...huko ni rahsi Sana kuajiriwa ...narudia ni rahisi ..Ila umeme wa magari Kuna wahuni kibao kitaa wanapga Kaz na wanakosa deal sometimes naww unaenda hko, siongei tu from no where ,nmedeal na magar pia nmeish garage mama fundi baba suka...kijana unaenda ku compete tafta lesen, ni rahs kuajiriwa kuendesha semi na ukala posho ndefu kuliko bachelor uliyosomea Tena hata Mara mbili....NB dereva Makin anaingiza pesa Mara tatu au nne ya mwalimu mwenye degree Ila tu kilichonifanya nisiwe dereva licha ya kuwa najua Kuna pesa nyingi kuliko taaluma nnayosomea ni mfumo wa maisha wa madereva, kusafiri mda mrefu,Ila nimeweka udereva Kama plan B na ipo activated , na baba hajui kuwa nmesomea udereva na huwa anagomba Sana kuwa napoteza mda shule , so nmeuweka kuwa plan b, kwasababu najua kuwa jobless is real, pole mkuu.kama unaweza change your mind , usiwaze kuhusu ajira udereva ndio Kaz ambayo bado ipo open sana
Ndugu asante sana kwa ushauri mzuri, naahidi nitaufanyia kazi nisijeingia tena mtegoni
 
Ndugu yangu .una shida pahala.na usipobadilika mindset..hata ukitoka hapo veta utahis bado unawiwa....

Hiv unapotembeaga mitaan.masokon.kariakoo..hiv unaonaga watu na biashara zao kuanzia machinga mpaka wafanya biashara wakubwa.unahis wana degree au hvyo vyet vya veta?

Yaan umeshindwa fanya chochote kitu.had wa darasa la saba anakushinda mkuu...

Amini kwamba...mkuu una tatzo..

Bas kama umeshindwa kabisa..iga wanachofanya wenzio mitaan bas .au ndo pride inakuzingua.

Mwamba anatafuta cheti aweke CV kabatini aendeleze lawama
 
Back
Top Bottom