Msiba wa Taifa
Senior Member
- Nov 3, 2016
- 128
- 53
Naomba kutanguliza shukrani za dhati kwenu.
Je, mnajua kwamba Pharmacy ndo kozi ngumu pia ndiyo inayoongoza kwa michongo ya kujiajiri na kuajiriwa bongo.
Cheti cha pharmacy kinaweza kukuingiza si chini ya milion3 kwa mwez ukisimamia maduka ya madawa ya wazungu na wachina pale KARIAKOO/MWANZA MJINI/DODOMA/MOROGORO.
Hapo bado unapiga mishahara Serikalini 1.3millions sawa na Dr.
Pia Mpharmacia mwenyewe unafungua maduka yako binafsi halafu dawa zile unazouza huzinunui bali unaiba tu hospitalini.
PHARMACY IS DA BEST IN DA WORLD
[emoji28][emoji28][emoji28]
MWENYE NYONGEZA PLEASE ONGEZEA .
SITAKI MATUSI.