Degree ya Pharmacy ndo kozi yenye mchongo kuliko zingine zote kwa Tanzania

Degree ya Pharmacy ndo kozi yenye mchongo kuliko zingine zote kwa Tanzania

Hebu endelea kusoma pharmacy yako hiyo baadae utaelewa mfumo upoje
[emoji28][emoji28][emoji28] nani aliwaambia kuna koz za afya huwaga wanakosaga hajira,, makubwaaa
[emoji28][emoji28][emoji28] mimi nijuavyo kozi zote za afya zinasoko zikiongozwa na babalao pharmacy.
 
Unazungumzia enzi zipi za kuiba dawa? Njoo huku ndio utakapojuta vizuri na hizo expectations zako uchwara. You're wrong about salary na hata dili za kusimamia maduka ngumu kuzipata. Wengi tulijawa na the same expectations ila now tunaishi kwa uhalisia zaidi.
Salary shingap [emoji28][emoji28][emoji28]
1.25 million bila makato.
Na hapo kwa anayeanza kazi after 6yrs anachukua kama 2million.
 
Kama ni hivyo physics, chemistry, biology na maths tukasome upya kwa wale tuliokimbilia art subject
 
[emoji28][emoji28][emoji28] nani aliwaambia kuna koz za afya huwaga wanakosaga hajira,, makubwaaa
[emoji28][emoji28][emoji28] mimi nijuavyo kozi zote za afya zinasoko zikiongozwa na babalao pharmacy.
Sijasema kama hakuna ajira hapo
 
Yan zunguka kote dunian degree zote za Afya haziwez mfikia MD hivyo mtoa mada pole na huko kujipa moyo utamiliki maduka ya dawa ni kwa kua mfamasia utakua peke yako au, msuli Wa lab, cjui phamas, ni sawa na MD yan had sasa hizo degree hazijafikia mil moja basic salama na ukimaliza take hom lak 7 usipokua na kaduka kadawa lazima uisome namba
 
Medical laboratory [emoji739] pharmacy which is the best course for your future success [emoji326]
 
eheheh aiseee mambo hayo ukiwa bado chuo huko ni story za kufurahisha nafsi na mwili pia...haya kila la kheri hata shule yenyewe hujamaliza..Halaf umesahau ile mnasemaga ntapata hata kiwandani lazima au Coca cola.
 
Utoto mwingi. Hivi hata Diamond alisoma pharmacy? Maisha hayapo hivyo.
 
mwakani namaliza masomo yang ya ufamasia lkn ajira hazipo kama huyo anavyosema pia hiyo ishu ya kusimamia duka ulipwe sio km unavyosema embu kasome Pharmacy Act 2002 itakuelewesha,pitia pia section ya 16 mpaka ya 24 utaelewa bwana mdogo
Kama miaka 15/10 iliyopita nchi za Europe na USA zilikuwa na uhaba mkubwa wa pharmacists, walitafuta sana watu hao kutoka developing countries, Europe unapewa 5 years work permit straight away.
 
Ukiwa chuo hasa first year ndoto nyingi sana,
Inanikumbusha form one kila mtu alikuwa anasema nakuja kuwa daktari
 
Yan zunguka kote dunian degree zote za Afya haziwez mfikia MD hivyo mtoa mada pole na huko kujipa moyo utamiliki maduka ya dawa ni kwa kua mfamasia utakua peke yako au, msuli Wa lab, cjui phamas, ni sawa na MD yan had sasa hizo degree hazijafikia mil moja basic salama na ukimaliza take hom lak 7 usipokua na kaduka kadawa lazima uisome namba

We nae kumbe hujui chochote
Hizi hapa ni basic salaries
MD 1,480,000
Bpharm 1,215,000
Medical Lab/Nursing 980,000

Pamoja na kuwa pharmacist anaweza kusimamia pharmacy(kama akipata) na akalipwa kuanzia 1M na kuendelea hiyo haimfanyi kuwa bora... Mafanikio ni individualised ufamasia au udaktari sio kigezo cha wewe kuwa tajiri n afterall nani katajirika kwa kupokea million mwisho wa mwezi
 
Dogo usidhani pharamacy umeanza kuisoma wewe tushapita huko sisi na bado tumejiegesha kuuza viduka vya watu yani duka la dawa muhimu pharmacia uhitaji wetu sio mwingi kama unavofikiri sipatai picha kama uko first year 2021 sijui utaanza kuzunguka na paracetamol mtaani
 
Naomba kutanguliza shukrani za dhati kwenu.
Je mnajua kwamba Pharmacy ndo kozi ngumu pia ndyo inayoongoza kwa michongo ya kujiajiri na kuajiriwa bongo.
Cheti cha pharmacy kinaweza kukuingiza si chini ya milion3 kwa mwez ukisimamia maduka ya madawa ya wazungu na wachina pale KARIAKOO/MWANZA MJINI/DODOMA/MOROGORO.
Hapo bado unapiga mishahara serikalini 1.3millions sawa na Dr.
Pia Mpharmacia mwenyew unafungua maduka yako binafsi halafu dawa zile unazouza uzinunui bali unaiba tuu hospitalini.
PHARMACY IS DA BEST IN DA WORLD
[emoji28][emoji28][emoji28]
MWENYE NYONGEZA PLEASE ONGEZEA .
SITAKI MATUSI.
Mambo yàngekuwa rahisi kama unàvyodhan bac wafamacia wa Tanzania wangekuwa mamilionea kwa sasa, kijana tupo kwenye medical field kwa muda mrefu hayo mambo tunayajua vzr hivyo hizo story za kusimuliwa na kusadikika achana nazo maliza chuo uingie mtaan ukutane na maisha halisi sio hayo maigizo
 
Back
Top Bottom