Mbagala stendi
JF-Expert Member
- Nov 8, 2020
- 331
- 383
Mtoa ung'eng'e tupe feedback au ndo washakukula kichwa ๐๐๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni 2023. Pia nataman kujua mtoa mada amefika wap[emoji28][emoji28]Maana alipost 2016 akiwa first year so huu mwaka 2020 ilibidi awe ashamaliza abaki tu kusubiria internship [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Unless alidisco [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa uliza leo wanalipwa bei gani ?Naomba kutanguliza shukrani za dhati kwenu.
Je, mnajua kwamba Pharmacy ndo kozi ngumu pia ndiyo inayoongoza kwa michongo ya kujiajiri na kuajiriwa bongo.
Cheti cha pharmacy kinaweza kukuingiza si chini ya milion3 kwa mwez ukisimamia maduka ya madawa ya wazungu na wachina pale KARIAKOO/MWANZA MJINI/DODOMA/MOROGORO.
Hapo bado unapiga mishahara Serikalini 1.3millions sawa na Dr.
Pia Mpharmacia mwenyewe unafungua maduka yako binafsi halafu dawa zile unazouza huzinunui bali unaiba tu hospitalini.
PHARMACY IS DA BEST IN DA WORLD
[emoji28][emoji28][emoji28]
MWENYE NYONGEZA PLEASE ONGEZEA .
SITAKI MATUSI.
Unataka ukaisome,so poa mwaka wa pili tu unakimbia,unaweza dhani unateswa kumbe shule ndogo.2024 sasa sijamuona kurudi atupe mrejesho na sie tukaisome [emoji4]