Degree ya Pharmacy ndo kozi yenye mchongo kuliko zingine zote kwa Tanzania

mwakani namaliza masomo yang ya ufamasia lkn ajira hazipo kama huyo anavyosema pia hiyo ishu ya kusimamia duka ulipwe sio km unavyosema embu kasome Pharmacy Act 2002 itakuelewesha,pitia pia section ya 16 mpaka ya 24 utaelewa bwana mdogo
Ivi kati ya izo pharmacy vs medical laboratory ipi ina ajira to be honest
 
Soma kichwa cha uzi mkuu.
unauliza naakati majibu tumeshayatoa.
lab analipwa laki9
pharmacy analipwa zaid ya million4 permonth. Na mshahara juu..
au kunakingne uliitaji kujua.
 
Labda kwenye kampuni ya baba ako. Vijana jifunzeni kupambanua majira time is changing huu upepo wa Magufuli nani akulipe 4 millions na kwa uzuri gani ulionao
 
Sahivi tuu sijamaliza ata mwaka wa kwanza nalipwaa million1.6 na hospitali ya KCMC wanataka gamba langu na GPA ya 4.7 ndo wanahiitajii.
Kazi kwangu kupiga shulee.
 
Aisee we were dealing with a psychotic case..Kila la heri mdogo wangu na hongera kwa kulipwa mapesa mengi pia kazana upate hiyo GPA ya 4.7

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Naomba kutanguliza shukrani za dhati kwenu.
Je mnajua kwamba Pharmacy ndo kozi ngumu pia ndiyo inayoongoza kwa michongo ya kujiajiri na kuajiriwa bongo.

Cheti cha pharmacy kinaweza kukuingiza si chini ya milion3 kwa mwez ukisimamia maduka ya madawa ya wazungu na wachina pale KARIAKOO/MWANZA MJINI/DODOMA/MOROGORO.

Hapo bado unapiga mishahara serikalini 1.3millions sawa na Dr.
Pia Mpharmacia mwenyew unafungua maduka yako binafsi halafu dawa zile unazouza uzinunui bali unaiba tuu hospitalini.

PHARMACY IS DA BEST IN DA WORLD
[emoji28][emoji28][emoji28]
MWENYE NYONGEZA PLEASE ONGEZEA .
SITAKI MATUSI.
Naona umejazwa upepo ukasome certificate ya Pharmacy Pole kwa Kufeli Maana waliuofaulu Hawaendi Certificate!
 
Kwa hiyo mkuu unashawishi watu waibe..Eti...
Sawa.. kumbe KUIBA nayo ni kazi.... !
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu dogo hamna kitu
 
Naomba kutanguliza shukrani za dhati kwenu.
Je mnajua kwamba Pharmacy ndo kozi ngumu pia ndiyo inayoongoza kwa michongo ya kujiajiri na kuajiriwa bongo.

Cheti cha pharmacy kinaweza kukuingiza si chini ya milion3 kwa mwez ukisimamia maduka ya madawa ya wazungu na wachina pale KARIAKOO/MWANZA MJINI/DODOMA/MOROGORO.

Hapo bado unapiga mishahara serikalini 1.3millions sawa na Dr.
Pia Mpharmacia mwenyew unafungua maduka yako binafsi halafu dawa zile unazouza uzinunui bali unaiba tuu hospitalini.

PHARMACY IS DA BEST IN DA WORLD
[emoji28][emoji28][emoji28]
MWENYE NYONGEZA PLEASE ONGEZEA .
SITAKI MATUSI.
Vipi ushamaliza degree yako au ulishadisco [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji3][emoji3]

Kwanini unamuuliza hivi mkuu!!?

Hakika Ufamasia ni fani unayolipwa mishahara miwili(kwa cheti na kwa leseni) kimbembe ni kufikia hapo toka shule mpaka kwenye leseni!!
Mimi pia nakomaa nayo bado mmoja!
 
8c84ff37238fc47e8f2e0758dac50193.jpg
Kuna taasisi serikalini diploma anaanza na 1,800,000/- hivyo hiyo 1M ni posho.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji3][emoji3]

Kwanini unamuuliza hivi mkuu!!?

Hakika Ufamasia ni fani unayolipwa mishahara miwili(kwa cheti na kwa leseni) kimbembe ni kufikia hapo toka shule mpaka kwenye leseni!!
Mimi pia nakomaa nayo bado mmoja!
Maana alipost 2016 akiwa first year so huu mwaka 2020 ilibidi awe ashamaliza abaki tu kusubiria internship [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Unless alidisco [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom