Degree ya Pharmacy ndo kozi yenye mchongo kuliko zingine zote kwa Tanzania

Degree ya Pharmacy ndo kozi yenye mchongo kuliko zingine zote kwa Tanzania

Pharmacy degree inatolewa na vyuo vichacheee sanaaa pia degree ya pharmacy kila mwaka wanaitimu wachache ukiikompare na MD .
Pia vyuo vinavyotoa degree ya pharmacy pia ni vichache kukompare na MD.
Hvyo labda MD ikiwa imekosa soko ndo Pharmacy itafuataaa bdaaae sanaaa.
tatizo LA wanafunzi mkiwa chuo mnajidanganya sana ,mnafikiri magorofa tu soma kwanza dogo,miaka ,minne mingi sana ..tusubiri ...
 
ATAKAMA NIKIGAWA MITISHAMBAAAA KAMAA BABUUU WA LOLIONDO NNACHOSEMA NIKWAMBAAA NAONGELEA MSHAHARAAAA WA PHARMACIST NIMKUBWAAAA 1.25 MILLIONSSSS PIA DILIII NI NYINGIIII SANAAAAA
Na hapo baaada ya miaka 7 nakula zaidi ya 2millions per month.
MKE WANGU PIA NFUNGULIA PHARMACY 2 PALE KARIAKOO .
PIA NACMAMIA DUKA TATU ZA WAHINDI PALE POSTAA.
We dogo hujui life likoje kitaa unaropoka tu hebu maliza hiyo pharmacy yako halafu njoo kitaa uone mziki ulivyo na kwa taarifa yako hakuna mtu duniani amewahi kuwa millionaire kwa mshahara pekee .million 1500000 sio kitu kwa life la sasa hivi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaan huyu anaonekana kabisa ni mwanafunzi. Maliza mdogo angu uje kitaa huku, hata siye tulikuwa hivyo hivyo. [emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]. Tooooooooo!!! Ambitious [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23] 1St Year uyo akifika chuo tu anajiona bilionea Hahaha maliza uje kitaa dogo
 
mkuu waulize wenzio wa walimaliza mwaka huu
Nikwelii sahivi ni INTAKE YA 3 serikali haijaari Ma Dr wala Wapharacia.

Haimaaanishi kwambaa watakosaaa.
Naunaposema wa Mwaka huuu sikuelewi maana ndo wamefanya shereh juz hata intern hawajaendaa unasema wamekosaajiraa.

NAKWATAARIFA AKO PHARMACY IKIKOSA SOKO KOZI ZINGINE ZOTE ZA OVYOOVYOO ZINAFUNGWA MAANA ZENYEWE ZITAKUWA HAZINA UHITAJI.
 
Mimi na Degree yangu siwez kugawa dawa dogoooo.
NATENGENEZA CHLOROQUINE PARACETAMOL AMODAR ETC
Hizo zinatengenezwa na wakemia. Na zilishaga tengenezwa zamani na wenzetu walioendelea we unaletewa chloroquine kazi yako ni kutengeneza kibonge tu
 
Hizo zinatengenezwa na wakemia. Na zilishaga tengenezwa zamani na wenzetu walioendelea we unaletewa chloroquine kazi yako ni kutengeneza kibonge tu
Mkemia kazi yake ni kutengeneza sabuni ya OMO [emoji13] [emoji13] [emoji13] na DAWA ZA CHOONI.
Awezi kutengeneza CHLOROQUINE wakati hajui hata BENZENE Inachorwajee..
 
Mkemia kazi yake ni kutengeneza sabuni ya OMO [emoji13] [emoji13] [emoji13] na DAWA ZA CHOONI.
Awezi kutengeneza CHLOROQUINE wakati hajui hata BENZENE Inachorwajee..
Aisee. Mda mwingine ujitahidi kuficha ujinga wako
 
[emoji3] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji2]
 
ATAKAMA NIKIGAWA MITISHAMBAAAA KAMAA BABUUU WA LOLIONDO NNACHOSEMA NIKWAMBAAA NAONGELEA MSHAHARAAAA WA PHARMACIST NIMKUBWAAAA 1.25 MILLIONSSSS PIA DILIII NI NYINGIIII SANAAAAA
Na hapo baaada ya miaka 7 nakula zaidi ya 2millions per month.
MKE WANGU PIA NFUNGULIA PHARMACY 2 PALE KARIAKOO .
PIA NACMAMIA DUKA TATU ZA WAHINDI PALE POSTAA.
Naomba nicomment ili nafsi yangu irizike. K*u*m*a* wewe, nimesoma comments zako zote mpk nikaafika kukwambia hivyo. Asante
 
Nikwelii sahivi ni INTAKE YA 3 serikali haijaari Ma Dr wala Wapharacia.

Haimaaanishi kwambaa watakosaaa.
Naunaposema wa Mwaka huuu sikuelewi maana ndo wamefanya shereh juz hata intern hawajaendaa unasema wamekosaajiraa.

NAKWATAARIFA AKO PHARMACY IKIKOSA SOKO KOZI ZINGINE ZOTE ZA OVYOOVYOO ZINAFUNGWA MAANA ZENYEWE ZITAKUWA HAZINA UHITAJI.

Taifa limepata hasara kutoa mkopo kwa chizi kama wewe
 
Naomba kutanguliza shukrani za dhati kwenu.
Je mnajua kwamba Pharmacy ndo kozi ngumu pia ndiyo inayoongoza kwa michongo ya kujiajiri na kuajiriwa bongo.

Cheti cha pharmacy kinaweza kukuingiza si chini ya milion3 kwa mwez ukisimamia maduka ya madawa ya wazungu na wachina pale KARIAKOO/MWANZA MJINI/DODOMA/MOROGORO.

Hapo bado unapiga mishahara serikalini 1.3millions sawa na Dr.
Pia Mpharmacia mwenyew unafungua maduka yako binafsi halafu dawa zile unazouza uzinunui bali unaiba tuu hospitalini.

PHARMACY IS DA BEST IN DA WORLD
[emoji28][emoji28][emoji28]
MWENYE NYONGEZA PLEASE ONGEZEA .
SITAKI MATUSI.
Ndoto bwana endelea kuota !
 
Si bure umerogwa wewe! Hivi upo chuo na mpaka leo hujajua fani zinazotengeneza hela???
Kwanza kuwa na degree ya Pharmacy ukumbuke kuwa si ndiyo sababu ya kupata hela kama unavyodhani....
 
Back
Top Bottom