Degree ya Pharmacy ndo kozi yenye mchongo kuliko zingine zote kwa Tanzania

Jinga jinga nyingi sana hasa ukiwa first year
Hamna aisee ukweli utabaki kuwa ukweli tuu.
Mtu ukisoma kozi za ovyo ovyo huwaga hamtaki kuambiwa ukweli .
Naonaga thread humu mnajifariji eti kila kozi inalipa.
 
Yangu macho, ukihitim Na kukosa Raman usisite kuomba ushaur humuhumu
 
Salary shingap [emoji28][emoji28][emoji28]
1.25 million bila makato.
Na hapo kwa anayeanza kazi after 6yrs anachukua kama 2million.
Tatizo story za vijiweni tena kutoka kwa watu mnaolingana uelewa zinawaingiza chaka sana!
Kwa afya MD ndio wanaweza kusema wana mshahara wa juu! Lakini hata wao take home hawajafikia hela unayoiwazia kuchukuliwa na Pharmacist!
First year wengi kozi zinawazuzua na kuwa na matarajio yasiendana na uhalisia!
Karibu kundini!
 
Hamna aisee ukweli utabaki kuwa ukweli tuu.
Mtu ukisoma kozi za ovyo ovyo huwaga hamtaki kuambiwa ukweli .
Naonaga thread humu mnajifariji eti kila kozi inalipa.
Hakuna kozi ya ovyo ovyo muhimu ni kupata Chanel zinazolipa baada ya kumaliza shule! Hautaamini yule anayesoma kozi unayoiona ni ya ovyo ovyo anakupa madili ya kumfanyia kazi!
Kua uyaone mdogo wangu! Ila kama ni mbishi endelea kubishi mpaka utakapokutana na vitu hivyo uso kwa uso!
Kaa utulie usome upate ujuzi muhimu uheshimu watu wote regardless of their professional or whatever! Hapo ndio utaweza kutengeneza networks zitakazoweza kukupa fursa nyingi na kukutoa kimaisha!
 
Tatizo story za vijiweni tena kutoka kwa watu mnaolingana uelewa zinawaingiza chaka sana!
Kwa afya MD ndio wanaweza kusema wana mshahara wa juu! Lakini hata wao take home hawajafikia hela unayoiwazia kuchukuliwa na Pharmacist!
First year wengi kozi zinawazuzua na kuwa na matarajio yasiendana na uhalisia!
Karibu kundini!
Kwani ww unajua mshahara wa MD ni shingap?
Doctor of medicine 1.48millions
Doctor of pharmacy 1.25millions
Other course health related 980K
Including nursing and laboratory
Na hapo ni kwa wanaoanza kazi .

Nnachomaanishaa Pharmacy anazidiwa laki2 na MD pia anaweza tumia cheti chake kufungulia maduka ya madawa.
pia mtu yeyote akifungua hodpital lazima awe na chet cha mtu wa aliesoma pharmacy.
 
[emoji28][emoji28][emoji28] nani aliwaambia kuna koz za afya huwaga wanakosaga hajira,, makubwaaa
[emoji28][emoji28][emoji28] mimi nijuavyo kozi zote za afya zinasoko zikiongozwa na babalao pharmacy.
Uko mwaka wa ngapi bwana mdogo?
Ngoja tukwambie kua uyaone!
 
Muda si mrefu pharmacy itakuwa si chochote hapa Tanzania in term of kuajiriwa kwani hospital zinahitaji wafamasia wachache zaidi kuliko madaktari na wauguzi by the way famasi kazi Yake kugawa madawa kazi ambayo hata nurse anaweza Fanya vizuri tu cozi amesoma pharmacology, Pharmacy ilikuwa na dili enzi za JK sio enzi hizi za Magufuli iba dawa uone kama hajatubuliwa na pharmacy yako hewa na kukupeleka kwenye mahakama ya mafisadi na majizi, Lakini pia kuna anguko kubwa la PHARMACY laja kwani utatikanaji wa dawa mhimu kufkia mwakani utakuwa wa UHAKIKA katika hospitality za umma hivyo Pharmacy nyingi mitaani zitafungwa na wafamasia wanagraduate wengi kila kukicha hivyo tutawalipa hata laki NNE kwa kusimamia famasi kama hataki si wapo wengi ambao wanasubri ajira
 
Mkuu rekebisha kauli , mfamasia sio mgawa dawa...Hakuna mjinga anaweza kukaa darasani 4; years asome kugawa dawa.
 
Kwani ww unajua mshahara wa MD ni shingap?
Doctor of medicine 1.48millions
Doctor of pharmacy 1.25millions
Other course health related 980K
Including nursing and laboratory
Na hapo ni kwa wanaoanza kazi .

Nnachomaanishaa Pharmacy anazidiwa laki2 na MD pia anaweza tumia cheti chake kufungulia maduka ya madawa.
pia mtu yeyote akifungua hodpital lazima awe na chet cha mtu wa aliesoma pharmacy.

Wewe bwana mdogo ni chuo gani hapa kinatoa PharmD ?Wewe umeona wapi mshahara wa Doctor of pharmacy?
 
Muda si mrefu pharmacy itakuwa si chochote hapa Tanzania in term of kuajiriwa kwani hospital zinahitaji wafamasia wachache zaidi kuliko madaktari na wauguzi by the way famasi kazi Yake kugawa madawa kazi ambayo hata nurse anaweza Fanya vizuri tu cozi amesoma pharmacology, Pharmacy ilikuwa na dili enzi za JK sio enzi hizi za Magufuli iba dawa uone kama hajatubuliwa na pharmacy yako hewa na kukupeleka kwenye mahakama ya mafisadi na majizi, Lakini pia kuna anguko kubwa la PHARMACY laja kwani utatikanaji wa dawa mhimu kufkia mwakani utakuwa wa UHAKIKA katika hospitality za umma hivyo Pharmacy nyingi mitaani zitafungwa na wafamasia wanagraduate wengi kila kukicha hivyo tutawalipa hata laki NNE kwa kusimamia famasi kama hataki si wapo wengi ambao wanasubri ajira
We JAMAA ujielewiii kabisaa Mimi natengeneza kidonge pia ntaajiriwa MSD.
Wanaogawa dawa hata hapa Muhimbili ni Diploma na Certificate siyo mtu wa DEGREE
 
ATAKAMA NIKIGAWA MITISHAMBAAAA KAMAA BABUUU WA LOLIONDO NNACHOSEMA NIKWAMBAAA NAONGELEA MSHAHARAAAA WA PHARMACIST NIMKUBWAAAA 1.25 MILLIONSSSS PIA DILIII NI NYINGIIII SANAAAAA
Na hapo baaada ya miaka 7 nakula zaidi ya 2millions per month.
MKE WANGU PIA NFUNGULIA PHARMACY 2 PALE KARIAKOO .
PIA NACMAMIA DUKA TATU ZA WAHINDI PALE POSTAA.
 
Muda si mrefu pharmacy itakuwa si chochote hapa Tanzania in term of kuajiriwa kwani hospital zinahitaji wafamasia wachache zaidi kuliko madaktari na wauguzi by the way famasi kazi Yake kugawa madawa kazi ambayo hata nurse anaweza Fanya vizuri tu cozi amesoma pharmacology, Pharmacy ilikuwa na dili enzi za JK sio enzi hizi za Magufuli iba dawa uone kama hajatubuliwa na pharmacy yako hewa na kukupeleka kwenye mahakama ya mafisadi na majizi, Lakini pia kuna anguko kubwa la PHARMACY laja kwani utatikanaji wa dawa mhimu kufkia mwakani utakuwa wa UHAKIKA katika hospitality za umma hivyo Pharmacy nyingi mitaani zitafungwa na wafamasia wanagraduate wengi kila kukicha hivyo tutawalipa hata laki NNE kwa kusimamia famasi kama hataki si wapo wengi ambao wanasubri ajira
Pharmacy degree inatolewa na vyuo vichacheee sanaaa pia degree ya pharmacy kila mwaka wanaitimu wachache ukiikompare na MD .
Pia vyuo vinavyotoa degree ya pharmacy pia ni vichache kukompare na MD.
Hvyo labda MD ikiwa imekosa soko ndo Pharmacy itafuataaa bdaaae sanaaa.
 
Kachezeeni dawa mwisho nakuja kukagua mahesabu yenu katika manunuzi na matumizi then nakupiga mkwanja mreeefu maana naweza kukusababishia kuondolewa kazini... AUDITING ndo Baba lao...
nyie wanafunzi someni kwanza ndio mje hapa ...[emoji2]
 
Back
Top Bottom