Degree ya Pharmacy ndo kozi yenye mchongo kuliko zingine zote kwa Tanzania

Degree ya Pharmacy ndo kozi yenye mchongo kuliko zingine zote kwa Tanzania

Medicine vs pharmacy which most better than others

Zote Hazina issue Ni Za Kuganga Njaa tu! Kupiga Hela inategemea na Ulipoajiriwa na Ujanja Wako na sio aina Ya Fani unayosomea...

Father Wangu Ni Education Tu Kaajiriwa Kwenye Kwenye Kampuni Ya Aghakan Foundation Hapo Zenji Na Anachukua $1500 per Mounth...
 
Mwambie fathr ako asomee na certificate ya pharmacy atapiga pesa mara 2 ya hyoo.
Na akipiga dploma yake ni balaaaa atakua kama diamond.
 
Ivi clinical medical vs medical laboratory ipi ni nzuri sana kwa ngazi ya diploma
 
duuh ..ndo maana unanibisha sana kwenye uzi wangu
kumbe huu Uzi ni wako ....pharmacy haina ajira Mdogo wangu ....hizo ni ndoto tu
Screenshot_2016-12-31-15-47-15.png

Msaada mkuu jamaa apate pharmacist maana wote tayari wana pharmacy zao
 
Asantee kakaa ndo maana nasema jamaa darasa la sabaa ajui aliongealo.
Hapo bado mshahara wa serikali 1.25 millions.
pia hospitalini pia za private hawawez fungua hospital bila chet cha mfamasia.

Bado uko mbali sana kufanya haya mabishano.. First semester ya kwanza chochote kinaweza tokea.. Wafamasia huwa hatuna majigambo kama yako ,huwa tunakula kimya kimya,hatuheshimiki sana kama madaktari ila pesa tunazipata..Soma shule uwe competent things are rapidly changing
 
Umeongea vyema, anatakiwa asome kwanza mishahara nibadae sana baada ya kuruka viunzi lukuki
 
Back
Top Bottom