Msiba wa Taifa
Senior Member
- Nov 3, 2016
- 128
- 53
- Thread starter
- #101
Kwalipi?Vijana mnachekesha sana,
MEDICINE ndo COURSE .Si bure umerogwa wewe! Hivi upo chuo na mpaka leo hujajua fani zinazotengeneza hela???
Kwanza kuwa na degree ya Pharmacy ukumbuke kuwa si ndiyo sababu ya kupata hela kama unavyodhani....
B PHARMACY NDO BABA LAO.
ZNGINE NI KUJIDANGANYA TUU.