Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Dejan ni straika mpya wa Simba ,ni straika kweli kama umefuatilia timu alizochezea na magoli aliyofunga. Kacheza timu kubwa Ulaya na anafunga magoli mazuri sana, lakini mashabiki wa nchi hii wana mambo ya kitoto sana.
Hicho mnachomfanyia Dejan sio ushabiki ni upumbavu ,na ni ubaguzi wa rangi Racism. Ligi haijaanza bado kacheza mechi Moja ya mashindano na yenyewe kacheza dakika 27, siku ya Simba Day kacheza dakika 16 mnataka afunge hat trick?
Acheni kumpa presha yule ni mtu, hapa kwetu ndiye alikuwa wa mwisho kusajiliwa hajakaa na timu bado hata Misri kule hakuwepo . Wachambuzi nao sijui nani kawaroga wameingia kwenye mkenge wa mashabiki utopolo wa Tanzania.
Chris Mugalu kacheza mechi ngapi bila kufunga nyinyi? John Boko msimu huu kafunga goli ngapi na kacheza mechi ngapi Nyinyi utopwinyo? Nyinyi gongo wazi huyo mayele alishawahi kufunga hat trick hapa TANZANIA nyinyi gongo nyonyo?
Muacheni Dejan acheze Mpira hata Cristiano Ronaldo mechi mbili mpaka tatu anaweza asifunge, mkome kumbagua mzungu wa watu ,endeleeni kukuna Nazi wali upo jikoni