Dejan wa Simba SC afunga goli huku akiwa amefumba macho

Dejan wa Simba SC afunga goli huku akiwa amefumba macho

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Huyu Dejan ana balaa afunga goli huku akiwa amefumba macho, kama viungo wa simba watamlisha haswa atafanya makubwa sana.

F5D8A244-60B3-444A-B447-622C0C36A5F3.jpeg

EBE6F617-CE95-449F-AAED-8C822D4DC952.jpeg
 
Goli Mzungu amefunga baada ya kipa wa Kagera kugongana na mchezaji. Golini hakukuwa na Kipa. Na refa hakusimamisha mchezo. Haikuwa Fair Play. Ila Simba afanyiwe hicho kitendo Afungwe yeye sasa. Utaskia Mwamuzi kafungiwa, CEO karopoka, Visipika Karopoka, Wachambuzi wa mchongo wana ropoka. Ila kwa wengine Fresh tu.
 
Goli kama hilo limefungwa na watu watatu tu mpaka sasa hivi.

1. Sadio mane vs bayern mumich
2. mimi mwenyewe MAKAVELI10
3.na jana ndio kafunga MDHUNGU,

hata pele hajawahi kufunga vile katika magoli yake buku na ushehe[emoji23][emoji1787]
Kipaji icho,kama wewe uliwai kufunga kwa nama hiyo una kipaji mkuu.
 
Back
Top Bottom